Dunia Haiwezi kuwa na Amani endapo kizazi cha Israel bado kipo hai

Kenya waliuana 2017 nao ni Israel ?
Duuh mauaji gani haya mkuu mbona nayasikia leo!!
Na sielewi kwanini unaokoteza taarifa wakati recent data tu zinaonyesha Israel imeua raia wa Wapalestina (Sio Hamas) zaidi ya 70,000!! Wengi kuliko waliouawa kwenye migogoro yote uliyoitaja hapo!!
 
Waarabu wengi tu wanapambana watoke nchi zao waende Ulaya na US.
Propaganda!! Unajua mfano gulf countries zina expatriates wengi wakati mwingine kuliko raia mfano Qatar!! Same as wawekezaji wengi kukimbilia UAE au Saudi!!

Dunia ya sasa interaction ni kubwa, so mtu kutaka kwenda ulaya wakati mwingine ni strategy ya kiuchumi kama tu wamarekani walivyojaza viwanda uarabuni au China!! Ila hauwezi kusema sababu haitofit propaganda zako.
 
Mstari wa 5 umetaja nchi gani? hapo? persia, au uajemi ambayo ndiyo Irani huioni?
 
Na sasa hicho kizazi cha Israel hakiwezi kuondoka maana ndicho kinaiweka dunia kua hivi. Wewe hapo buza bila muisrael kugundua computer na mazaga zaga yote ya teknolojia labda saa hizi ungekua huko kijijini kwenu kazuramimba. Waarab na waafrika pamoja na resources nyingi walizonazo lakini kichwani ni zero. Wanachojua ni ngono na ufirauni tu.
 
Brain washed na historia za kale
 
Mstari wa 5 umetaja nchi gani? hapo? persia, au uajemi ambayo ndiyo Irani huioni?
Imetaja kwa pamoja na Ethiopia (Cush), na Put (Libya) je kwenye hii vita kuna alliance ya Gog pamoja na hizo nchi tajwa?

Ndio hiki nachopinga, tunaita selective prophecy yaani unachukua kamstari kamoja unasema unabii umetimia huku unaacha muktadha wa sura nzima!! Mfano hapo nikikuuliza Huyo mfalme Gog wa Magog ni nani? Na hiyo Persia (ambaye kwa miaka ya kale ilianzia Tunisia mpaka Asia Minor) ndio nchi gani leo? Maana Iran ni sehemu ndogo sana ya persia ya kale.

Mfano hapo nikikuuliza unabii unasema jeshi litakuja na farasi, sasa nikikuuliza leo hii kuna majeshi gani yanatumia farasi na upanga? Utakubaliana na mimi unabii kwenye biblia ni lugha ya picha sio vita halisi ya kimwili.
 
Ni kweli na tuna maziwa mengi kama alivyosema Somoe. Tutawapa maziwa ya huku juu na maziwa ya chini yanayotirisha maji : kupitia hayo maji tutaweza kupata umeme bure
 
Ni kweli na tuna maziwa mengi kama alivyosema Somoe. Tutawapa maziwa ya huku juu na maziwa ya chini yanayotirisha maji : kupitia hayo maji tutaweza kupata umeme bure
Kuliko watu wetu kuendelea kuwa masikini, bora tungewapa uraia hao jamaa kwa masharti

Naamini wangekuwa chachu kwenye ukuaji na ustawi wa Nchi yetu pia
 
Wewe hapo buza bila muisrael kugundua computer na mazaga zaga yote ya teknolojia
Israel imeanza 1948 na tayari computer zilikuwepo. Hizo propaganda umezitoa wapi bwana mdogo? Hapo misri tu mbona vumbuzi nyingi zilifanyika kipindi wayahudi hao walikua watumwa tu kwa wamisri na walikuta tayari jamaa wana engineering na teknolojia za kutosha tu!!

Acheni kuwakuza wayahudi
 
Ulibisha Iran yaani persia haijatajwa kwenye kitabu cha Ezekiel 38 ulipoandika

"Wapi Ezekiel 38 inataja IRAN or Persia in that case? Kwamb Gog and Magog Iran? Jibu simple question"
Then mara hii umeandika
"Maana Iran ni sehemu ndogo sana ya persia ya kale"

Aisee....na hapo umesoma mwaka mzima....
 
I used to be sympathetic to the Jewish people until I had the opportunity to know them better. They’re terrible. Their sense of entitlement is outrageous. They embrace the notion that Israel is the God-chosen nation and that their interests must be served before those of anyone else.

I have come to a conclusion that Hitler’s decision to try to wipe them out wasn’t totally out of place!
 
Sio kubisha, ila nashangaa mtu kuhusanisha unabii huu na Iran ya sasa maana hata persia inayoongelewa hapa inaanzia Tunisia hadi Asia Minor sio Iran ambayo ni Tehran na maeneo yanayozunguka ndio mzizi wa hoja.

mfano hapo nimekuuliza Put na Cush je tukienda kwa muktadha huo je Ethiopia na Libya ni allies wa hiyo nchi ya Persia kwenye hii vita? Na kuna farasi na mapanga kwenye hii vita? Na hapo Magog ndio nchi gani?

Biblia imejaa mafumbo so ukitafsiri kichwa kichwa ndio maana manabii uchwara wanawaingiza chaka kila kinachotokea wanadai ni unabii umetimia.
 
Persia yaani Irani imetajwa na umeshindwa kimaandiko na hata kihistoria kukanusha nilichoandika na mwanzo ulibisha kuwa haijatajwa.
Umebaki kushangaa shangaa tu na kuleta hadithi na ngano.
Hivi hata unaelewa kuwa Putu ni Libya? hivi hata unaelewa kuwa Gogu ni mtawala wa russia?
Halafu ndo umesoma mwaka mzima na unabii mdogo sana namna hii tena wa sura moja tu na tena ulio wazi kabisaa unashindwa kuuchanganua?
Aisee nenda sunday school ukafundishwe bible na watoto bado hujachelewa.
 
Persia yaani Irani
Unapotosha sasa, Persia ya kale haina mipaka ya Iran ni sawa na useme Cush ya biblia kwamba ni purely Ethiopia wakati kwa enzi zile ilikua inaanzia South Egypt, maeneo ya Sudan na magharibi ya Ethiopia!! Ndio hoja ya msingi hapa.
Hivi hata unaelewa kuwa Putu ni Libya?
Mbona nimeandika hapo juu au unajitoa ufahamu.
hivi hata unaelewa kuwa Gogu ni mtawala wa russia?
Na huu ndio upotoshaji mwingine mnafanya hakuna sehemu Biblia inasema Gog ni Russia kwanza Gog ni mtu halikua taifa ila Magog ndio ardhi ya EAST ambayo inaweza kuwa chochotr whether China, Japan, India or anything. Msiilishe biblia maneno ndio maana hapo nimekuuliza unabii unasema mfano askari wamepanda farasi na wana mapanga je kuna vita ya karne hii wanatumia farasi na mapanga kupigana??
 
Ayatollah Khemenei alishawahi kusema huku akitetea Hamas.

Kuhusu hiyo Samson Option hiyo ni mind games anachezewa Iran. Kwamba kwa namna yoyote Iran akiamua kukiamsha basi Israel anamaliza. Kumtengenezea uoga na majuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…