Dunia Haiwezi kuwa na Amani endapo kizazi cha Israel bado kipo hai

Kuna tofauti kati ya Uyahudi (kama jamii na dini) na Uzayuni (Sera ya kujitanua ya waisrael wenye msimamo mkali).

Kusema Wayahudi ndio tatizo sio kweli ila ni chuki tu za kibaguzi.

Siasa za kizayuni ndio chanzo cha vurugu mashariki ya kati.

Kuliko watu wetu kuendelea kuwa masikini, bora tungewapa uraia hao jamaa kwa masharti

Naamini wangekuwa chachu kwenye ukuaji na ustawi wa Nchi yetu pia
Muhimu kuwapa maziwa ya chini na juu
 
Sayansi imegawanyika. Kwa akili zako FUPI kama mkojo wa asubuhi
kama Ibn Sina ama Avicenna asingevumbua modern medicine basi msingekua mnatibiwa kisasa.
Na huyo ni Muajemi.
Katika teknolojia kila nchi ama asili ina mchango wake. ACHA KUWA NA AKILI ZA KIJINGA.
 
Hebu acheni hizi story bhana
Mkuu ungeuliza upewe jibu.
Iran na Israel walikua marafiki hata na utawala huu wa Khamenei kipindi cha Khomeini.
-Hata vita ya Iraq 1980 Israel kuanzia 1985 ilianza kumsaidia Iran kiintelijensia na kisilaha baada ya kuona Iran inakwama sana. Kupitia intelijensia na silaha za Israel Iran ikabadili muelekeo wa vita kuelekea ushindi 1988.
Uhasama wao umeanza 1995 baada ya Iran kuanza kujitegemea kisilaha na kiuchumi.
Israel ikaanza conspiracy kuwa Iran inataka kuunda nuclear weapons tangu 1995,ilianza kuua wanasayansi na wasomi wakubwa wa Iran wa sio tu wa silaha na nuclear bali wasomi hata wa kiuchumi pia.
Hata hiyo Egypt ilipokua ina nguvu ya kujitegemea waliiona tishio na kuivamia.
SOMENI JAMANI MPUNGUZE UBISHI.
 
Duniani sio sehemu ya amani.

Yesu mwenyewe alikuja akaona na akasema kuwa hapa Duniani tuna shida.
 
Huu uzi ni kama ulianza vizuri ila baadae ukawa na ujinga mwingi.

Ukweli ni kuwa, dini zimeleta ubaguzi na mgawanyiko mkubwa katika jamii. Zaidi, dini zote kubwa zilieneo kwa fujo na mauaji, ila angalau Ukristu ulijisahihisha kwenye mambo mengi. Uislam umegoma kubadilika na wakati hivyo kuonekana ni tatizo.

Sijaelewa kwa nini uchambuzi wako wa migogoro ya kidini umeishia hapo Israel. Boko haram, Al Qaida, Abuu Sayaf etc ni makundi ya Kiislamu ambayo yameua watu wasio na idadi. Hujazungumzia mauaji ya Wakristu nchi kama Pakistan, Afghanistan etc.

Kwa Tanzania usisahau uvamizi wa vituo vya polisi na mauaji ya polisi yalioendeshwa na wahalifu wa Kiislamu waliojikita Kibiti. Tena, mbaya zaidi, baadhi ya mahandaki yalianzia kwenye misikiti. Hapa bado htujagusa ya Amboni.

Waislamu wajikumbushe kuwa hawaishi wenyewe duniani, hivyo wajifunze kuishi kwa amani na wengine. Iran kuishambulia Israel kwa nuclear, sio rahisi kwani Israel anazo za kutosha kuimaliza hata hiyo Iran.
 
Bwana mdogo Iran ameanzisha vita zote mashariki ya kati ..Makundi yote machafu ya kigaidi yeye ndo mfadhili anajificha nyuma .. Iran ndo kila leo inatamka wazi kuangamiza nchi nyingine na kutaka kuzifuta kwenye uso wa dunia, Iran inatengeneza chuki duniani baina ya kizazi cha Iran na USA/ISRAEL kwa slogan yao ya death america na death israel.. Kama hujaona Iran ndo mwanzilishi wa fujo na machafuko yote Mashariki ya kati utakua umelemaa kiakili na kifikra na Utakua na mdudu mchafu kichwani..
 
UN security council zikifanyika wanaompinga Iran wanajulikana. Ni NATO siku zote.
Fuatilia vikao vyao vya UNSC utaona.
Hao NATO kama wanampinga Israel ni wao hawasaidii chochote akitishiwa au kushambuliwa. Same to Iran wangapi wanampinga na nini kinatokea? Falme za kiarabu wote wanamchukia lakini ujeuri sasa
 
Kwahiyo Iran ndio alikengeuka katika urafiki huo wa kinafiki
 
KOBAZ LINATESEKA SANA
 
Ukipigwa nuclear kwa kustukiza huwez hata kurudisha majibu

Ndio kinachomkosesha usingizi Israël
 
Marekebisho ya heading: DUNIA YA KIISLAMU HAIWEZI KUWA NA AMANI ENDAPO KIZAZI CHA ISRAEL BADO KIPO HAI
 
Hitler alikua anawachinja waha kunguni watu wakamjia juu. Akawaambia mtamkumbuka, now tunamkumbuka Hitler, Bora wangemuacha awateketeze wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…