Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
 
Kwa Tanzania hakuna tofauti ya msomi na ambaye hajaenda shule, tofauti ipo kwenye uchapa kazi na vipawa toka kwa Mungu. Nchi yetu toka imeanza inaongozwa na wasomi, lakini bado nchi ni masikini. Kibaya zaidi hata hao wasomi hawajui kwanini sisi ni masikini! Tafuta dongo lingine maana hili halikutoi.

Na kwa taarifa yako elimu yetu ni mbovu kupita maelezo, kiasi kwamba inazalisha wajanja wajanja, na watu wenye uwezo duni, matokeo yake watu wanaishi kwa kujipendekeza zaidi kwani ndio kinga ya wenye uwezo mdogo, na mavyeti ya kukariri. Najuta hata nilienda chuo kikuu kufuata nini kwa aibu ninayoona toka kwa tunaojiita wasomi.
 
Hahahaa...mbona hajataja mtu!!!??
Hii ni kwa wenye akili kubwa.
Sio lazima kutaja majina...muhimu ujumbe.

Mleta mada ni vyema ukatambua ubora wa mtu kwenye kupambanua mambo haupatikani tu kwa kuhesabu miaka aliyokaa darasani bali hekima pia.
 
Kwa Tanzania hakuna tofauti ya msomi na ambaye hajaenda shule, tofauti ipo kwenye uchapa kazi na vipawa toka kwa Mungu. Nchi yetu toka imeanza inaongozwa na wasomi, lakini bado nchi ni masikini. Kibaya zaidi hata hao wasomi hawajui kwanini sisi ni masikini! Tafuta dongo lingine maana hili halikuto...
So iundwe tume au?
 
Ndio maana Halima anawadharau
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
 
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.

Hell no, Chama gani hicho? Maana sijafuatilia biography za viongozi wa chama vya siasa mbali mbali tokea JPM atutoke. Nachojua Mbowe ana div 0 ya Form 6, sio vizuri kusema sema, ila sasa mtu kama kapata Div 0, tuiteje?
 
Back
Top Bottom