Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mzee mwinyi alikua na digirii ngapi, na alikuwa waziri hadi RaisFanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.
Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.
Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.
Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Hahahaa...mbona hajataja mtu!!!??Mleta mada mbowe mnyika ni akili kubwa
Hii ni kwa wenye akili kubwa.Hahahaa...mbona hajataja mtu!!!??
Kwani hao wasomi wameisaidia nini nchi hii zaidi ya ujanjaujanja na kujipendekeza tuHii ni kwa wenye akili kubwa.
Sio lazima kutaja majina...muhimu ujumbe.
Mleta mada ni vyema ukatambua ubora wa mtu kwenye kupambanua mambo haupatikani tu kwa kuhesabu miaka aliyokaa darasani bali hekima pia.
So iundwe tume au?Kwa Tanzania hakuna tofauti ya msomi na ambaye hajaenda shule, tofauti ipo kwenye uchapa kazi na vipawa toka kwa Mungu. Nchi yetu toka imeanza inaongozwa na wasomi, lakini bado nchi ni masikini. Kibaya zaidi hata hao wasomi hawajui kwanini sisi ni masikini! Tafuta dongo lingine maana hili halikuto...
Tena wasomi ndiyo wajinga zaidi kuliko hata wasio wasomiKwa Tanzania hakuna tofauti ya msomi na ambaye hajaenda shule, tofauti ipo kwenye uchapa kazi na vipawa toka kwa Mungu. Nchi yetu toka imeanza inaongozwa na wasomi...
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.
Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.
Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.
Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Wewe jamaa ripoti kituo chochote Cha polisi kilicho karibu nawe ha ha aaaJapo kuwa unapotosha,lakini fahamu kuwa Tulia ni Phd ila anamzidi ujinga darasa la 7
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.
Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.
Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.
Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
ππ€£π πππππMzee mwinyi alikua na digirii ngapi, na alikuwa waziri hadi Rais
Kwa Tanzania hakuna tofauti ya msomi na ambaye hajaenda shule, tofauti ipo kwenye uchapa kazi na vipawa toka kwa Mungu. Nchi yetu toka imeanza inaongozwa na wasomi...
HahahaTena wasomi ndiyo wajinga zaidi kuliko hata wasio wasomi
So iundwe tume au?