Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

Wasomi wa nchi hii ni wachumia tumbo over.....
 
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Nani ni form four [ 4 ] na Nani ni form six [ 6 ]?🤔
 
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
 
Ulijenga madarasa kijijini kwenu ukadhania watakuchagua ubunge lakini wakakwaga. Ukabakia kumchukia hayati.
 
Ulijenga madarasa kijijini kwenu ukadhania watakuchagua ubunge lakini wakakwaga. Ukabakia kumchukia hayati.

Kwakuwa ww unakaa kijijini unadhani kila mtu kazaliwa na kukulia kijijini.
 
Ngoja sie memkwa tupite kimya kimya [emoji23][emoji23]
 
Ndio. Tena F4 ya kweli
Acha upotoshaji mataga ww,mnyika kasoma udsm,o'level kapiga div 1.7 six kapiga div 1,udsm kasoma na ridhiwan kikwete,jokate ambae ndo alikuwa Dem wake,mpaka jokate akajiita Jojo,unajua maana yake ni jokate na John,ulikua kindagarten kipindi hicho si kosa lako,kuhusu Mbowe muulize ndugai alikuwa anaenda kuazima material Kwa Mbowe walipokua six wote,wee ushawahi kuona wap mchaga hapendi shule akiwa shule,hua wanaulizwa before chagua shule au business
 
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
We si umesoma anzisha chako tukuone.
 
Umeamua kuidhalilisha elimu kwa sababu ya kumtetea gaidi. Kumbe aliyetoa huu uzi umemthibitishia yale aliyosema...kama Mwenyekiti yuko hivi, wanachama wakoje?
Elimu itabaki na hadhi yake tu.
Kuchapa kazi, ubunifu, uadilifu ni lazima lkn elimu ni muhimu pia

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada kuna tofauti kati ya akili na elimu. Akili ndiyo ilitengeneza elimu.

Acha kupumbazwa na makaratasi mnayoyaita vyeti.
Wewe utakuwa ni wale wa vyeti feki. Wewe unaonekana huna vyote viwili. Elimu na akili.
Umeghushi vyeti kwamba una degree, umeondolewa kazini halafu unalazimisha ulipwe kiinua mgongo cha mwenye degree!

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Hell no, Chama gani hicho? Maana sijafuatilia biography za viongozi wa chama vya siasa mbali mbali tokea JPM atutoke. Nachojua Mbowe ana div 0 ya Form 6, sio vizuri kusema sema, ila sasa mtu kama kapata Div 0, tuiteje?
Tanzania mpo busy kutaja Elimu Elimu miaka yote huku Nchi inadidimia...
 
Nani anawadanganya Dunia ya sasa inataka vyeti?
Vyeti kabandike ukutani visubiri kusomwa kwenye wosia wako makaburini.
Dunia inataka akili,
 
Acha uongo ndugu, yaani darasa la saba umlinganishe na degree, huu ni ukosefu mwingine wa elimu. Siwezi kuzungumza mengi katika hili. Ila tuache kudanganyana.
Tatizo la mfumo wetu wa elimu linajulikana kwamba ni theory na kukariri. Pia ubaya unakuja kutowaandaa wanafunzi mapema kuingia kwenye fani au kushika vipaji walivyonavo. Mtu anaingia kwenye taaluma mahususi anapofika chuo kikuu wakati alitakiwa aanza kuingizwa kwenye fani hiyo akiwa darasa la 5.
Ndo unakuta mtu anaenda kuwa injinia kwa kusoma miaka 4 tu!
Mbali na kasoro hii, bado elimu ni muhimu

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…