mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Gepu limepungua sana baina ya mataifa yalitokuwa yanatawala soka na mataifa mengine chipukizi katika kusakata kandanda.
Tutarajie matokeo yasiyotarajiwa maana kuna vigogo wataadhirika kwa kichapo kutoka nchi zisizokuwa na historia kubwa ya soka. Kuna nchi toka Afrika na Asia zitashangaza!! Nchi kama Cape Verde unaweza kukuta inajitangaza kwenye ulimwengu wa soka kwa kufika mbali!!
Senegal itatesa!! Ngoja tusubiri! Nchi gani zingine unadhani zinaweza kuonesha maajabu?