Dunia ijiandae na matokeo yasiyotarajiwa kwenye kombe la dunia

Dunia ijiandae na matokeo yasiyotarajiwa kwenye kombe la dunia

Gepu limepungua sana baina ya mataifa yalitokuwa yanatawala soka na mataifa mengine chipukizi katika kusakata kandanda.

Tutarajie matokeo yasiyotarajiwa maana kuna vigogo wataadhirika kwa kichapo kutoka nchi zisizokuwa na historia kubwa ya soka. Kuna nchi toka Afrika na Asia zitashangaza!! Nchi kama Cape Verde unaweza kukuta inajitangaza kwenye ulimwengu wa soka kwa kufika mbali!!

Senegal itatesa!! Ngoja tusubiri! Nchi gani zingine unadhani zinaweza kuonesha maajabu?

Shida ya wengine chuki zinawatesa kwa waarabu, hilo liko wazi....

Timu kama morocco huwezi iacha kuitaja, morocco ni best team in afrika japo hawakubeba afcon. So, utaachaje kuitaja na ukawataja cape verdy na senegal? Tuacheni chuki wazee kisa wale ni waarabu.
 
Huyo Moroco TZ wenyewe isingekuwa figisu walikuwa wameshakubali kichapo, wataweza kufurukuta huko mbele kweli
 
Moroco now anatim gani, akati hata TZ ya gomandi ilimtoa jasho, wake sijui wamekumbwa na nini

Sijui unaizungumzia morocco ipi ilitolewa jasho, ni lini Morocco alifungwa na kitimu chetu (taifa stars)😄 hebu nikumbushe

Morocco alimpiga portugal
Morocco alimpiga spain kwenye matuta
Huyu huyu morocco kwa wale wasiompenda na kuingiza chuki kisa ni mwarabu amezifunga Portugal, spain, pia brazil katika friendly match.
 
Hiyo ni pote tu.
Hata Afrika hii, Gepu sio tu limepungua bali limeisha kabisa...Nigeria na Cameron miaka ile walikuwa ni washiriki wa kudumu World cup, leo wote wameondolewa na DRC kwenye one legged play off.
Italy naye hata kufuzu kafeli.
Timu kama Comoro ione hivyo, ni timu hatari sana.
Eti leo Aston villa anakuwa 4th kwenye EPL!
 
Sijui unaizungumzia morocco ipi ilitolewa jasho, ni lini Morocco alifungwa na kitimu chetu (taifa stars)😄 hebu nikumbushe

Morocco alimpiga portugal
Morocco alimpiga spain kwenye matuta
Huyu huyu morocco kwa wale wasiompenda na kuingiza chuki kisa ni mwarabu amezifunga Portugal, spain, pia brazil katika friendly match.
Sizungumzii ubaguzi wala rangi ya watu.

Hii moroco ya mwisho iliotoka AFCON juzi, ndio ikafanye maajabu WC, na upo serious kabisa. Hiyo this time hata makundi haivuki
 
Back
Top Bottom