mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Cabo verde haifiki mahali ina kiwango duni mno, Senegal imejaa wazee haiendi mahali una jingine?Gepu limepungua sana baina ya mataifa yalitokuwa yanatawala soka na mataifa mengine chipukizi katika kusakata kandanda. Tutarajie matokeo yasiyotarajiwa maana kuna vigogo wataadhirika kwa kichapo kutoka nchi zisizokuwa na historia kubwa ya soka. Kuna nchi toka Afrika na Asia zitashangaza!! Nchi kama Cape Verde unaweza kukuta inajitangaza kwenye ulimwengu wa soka kwa kufika mbali!! Senegal itatesa!! Ngoja tusubiri! Nchi gani zingine unadhani zinaweza kuonesha maajabu?
Umeangalia kundi la capeverde labda amshangaze saudi arabia
Kwamba saudi afulukute kwenye kikosi cha Spain labda kwa Croatia na capeverdeSaudi umewafuatilia? Ni wakali mzee.
Nimecheki game zao za mwishoni na hii ya juzi ya kirafiki, wapo vizuri.
Kwamba saudi afulukute kwenye kikosi cha Spain labda kwa Croatia na capeverde
Basi kama ni hivyo spain akishindwa kupata matokeo mbele ya capeverde na saudi arabia anaweza kutokuendelea na safariSubiri utaona mkuu! Waarabu wamejipanga mzee.
Kwanini spain France unamuweka wapiFainali itakua Argentina vs Spain.
Full stop
Yeah ina kikosi kinachoweza kubadili hali ya mchezo wakati wowoteNashangaa kumbe waingereza wako kwenye tano bora za dunia!
Basi kama ni hivyo spain akishindwa kupata matokeo mbele ya capeverde na saudi arabia anaweza kutokuendelea na safari