Dunia ijiandae na matokeo yasiyotarajiwa kwenye kombe la dunia

Sizungumzii ubaguzi wala rangi ya watu.

Hii moroco ya mwisho iliotoka AFCON juzi, ndio ikafanye maajabu WC, na upo serious kabisa. Hiyo this time hata makundi haivuki
Wakikutana morocco na brazil ipi utashabikia?

Wakikutana Senegal na brazil ipi utashabikia?
 
Subiri utaona mkuu! Waarabu wamejipanga mzee.
Waarabu wa mashariki ya kati mpira sio jadi yao wenyewe wanaamini tu yale yaliyosemwa na mtume wao ambaye wakati wa uhai wake hakuna aliyekuwa anaujua mpira na kwa hulka yake hata kama ungekuwepo asingesita kuupiga marufuku kwa madai kwamba ni haramu.
 
Afrika vipaji vimetoweka hamna vipaji, wachezaji wa sasa wameenda kwenye hii fani kujitafutia maisha tu lakini kiuhalisia hawana kabisa vipaji.

Senegal ile ya 2022 ni tofauti kabisa na hii ya leo, Ghana ya 2010 na hii ya leo ni kama usiku na mchana, Egypt ile aliyokuwa akiifundisha marehemu Mahmoud Al Gohari na hii ya sasa ni mbalimbali kabisa. Morocco ile ya 2022 na hii ya sasa ni kama Original na Photocopy.
 
Mshtuko wa kwanza ni kati ya Cabo Verde/Cape Verde dhidi ya Spain tareha 15/06/2026.
Yametimia! Hakuna aliyeamini kuwa Cape Verde inaweza kumkomalia hispania na kuchjkua pointi hapo! Mengi zaidi yanakuja!
 
Umetisha.. una maono..
Wewe si mchambuzi uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…