Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe.
Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemu na hayafai. Leo wanasema ya mbegu ndiyo hayafai.
Hili linaukweli gani? Au tubwie tu wasituchoshe.
Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemu na hayafai. Leo wanasema ya mbegu ndiyo hayafai.
Hili linaukweli gani? Au tubwie tu wasituchoshe.