Dunia imebadilika tena. Wanaanza kudai mafuta ya wanyama ni mazuri kuliko ya mbegu!!

Dunia imebadilika tena. Wanaanza kudai mafuta ya wanyama ni mazuri kuliko ya mbegu!!

Mbona ndio yanatumika Sana,brand karibu zote ni mafuta ya mimea.
Sijawahi ona brand mafuta ya wanyama
Brand sijawai ona ila kuna tabia ya kupikia mafuta wa wanyama yanayopatikana baada ya kukaanga nyama yenye mafuta. Mfano ukikaanga kitimoto inajitoa mafuta.

Pia Palm oil(mawese) nayo kwa asilimia kubwa ni saturated. Mfano Brand Korie, ina tabia sawa sawa na mafuta ya wanyama
 
Mafuta ya mbegu yana low melting point kwamba yakitokota yanazalisha sumu iitwayo free radicals.
Ndiyo maana hatushauriwi kula vya kukaanga.
Halafu, mafuta ya mbegu yana omega 6, sasa uwiano wa omega 3 na 6 haupo kama inavyotakiwa kuwa.
Hapa nakupata. Na hizi free radicals ni vileta kansa.
 
Mafuta ya wanyama wanasema ni Saturated; yanahimili joto kali kama la kukaanga, kuoka nk
Mafuta ya mimea; Unsaturated; Hayahimili joto kali sana kama la kukaanga, Kuoka nk

hivyo; wanashauri tutumie mafuta ya mimea kwa mapishi ya kawaida yasiyohitaji kukaanga sana/Kuoka nk kama huku kijijini kwangu Shytown (sisi hatuna muda wa kukalangiza)
na mafuta ya wanyama pale unapohitaji kuoka/ kukaanga kwa moto mkali hadi kuunguza vitunguu?
Cha kushangaza sangara ana mafyta mengi ila wakaangaji wanamkaanga kwa mafuta ya alizeti
 
Na yanavyonuka hivyo vyakula vitakuwaje?
Mambo yashakuwa mengi
 
Basi wachawi wapo mbele ya muda...maana wanapenda mafuta ya binadamu.
 
Kwa kukazia ni kwamba yawe mafuta ya mgando na mgando wenyewe uwe asilia. Yanakuwa na high melting point.
Ni mafuta yote ya wanyama, samaki, kuku, mawese, nazi. Kama ni nyama ipike kwa mafuta yake.
Free radicals ni hatari sana
 
Sayansi ya afya ya biashara
Wanatengeneza soko la mafuta ya nguruwe
 
Mafuta yanayoganda ndio mafuta halisi,ila kibiashara sio mazuri hivyo yakeletewa zengwe na kupromoti mafuta ya mbegu yasiyoganda.
 
Sayansi ya afya ya biashara
Wanatengeneza soko la mafuta ya nguruwe
Mafuta ya Nguruwe yangekuwa na shifa kungekuwa na tatizo kubwa, lakini hata ile kwenye kirimoto inaitwa "wazungu" inatafunika vizuri tu.
 
Mbona ndio yanatumika Sana,brand karibu zote ni mafuta ya mimea.
Sijawahi ona brand mafuta ya wanyama
Mafuta ya wanyama ni ghali zaidi. Wafanyabiashara ndiyo wasababishi wa haya yote.
Mafuta mgando asilia ni ghali sana.
Hivyo ya mimea yanatumika sana kwasababu watumiaji wengi hatumudu gharama ya hayo mazuri.
 
Back
Top Bottom