Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Mafuta ya mbegu yana low melting point kwamba yakitokota yanazalisha sumu iitwayo free radicals.Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe.
Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemi na hayafai. Leo wanasema ya mbegu mdiyo hayafai.
Hili linaukweli gani? Au tubwie tu wasituchoshe.
Kwa iyo mafuta ya Alizeti kwa Chipsi ni kosaMafuta ya wanjama wanasema ni Saturated; yanahimili joto kali kama la kukaanga, kuoka nk
Mafuta ya mimea; Unsaturated; Hayahimili joto kali kama la kukaanga, Kuoka nk
hivyo; wanashauri tutumie mafuta ya mimea kwa mapishi ya kawaida yasiyohitaji kukaanga sana/Kuoka nk
na mafuta ya wanyama pale unapohitaji kuoka/ kukaanga kwa moto mkali hadi kuunguza vitunguu?
Tuwekee chanzo cha hiyo habari mkuu.Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe.
Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemi na hayafai. Leo wanasema ya mbegu mdiyo hayafai.
Hili linaukweli gani? Au tubwie tu wasituchoshe.
Business as usually.B I A S H A R A
Kosa kubwa sanaKwa iyo mafuta ya Alizeti kwa Chipsi ni kosa
Ni mbaya sana. Kama unachoma sana, mafuta ya wanyama yako fresh. Ukichoma mafuta ya alizet, yanazalisha free radical (sababu ya double bond between carbon) hivyo mafuta yanakuwa toxic.Kwa iyo mafuta ya Alizeti kwa Chipsi ni kosa
Yani hawa wanaweza kukuchanganya ukiwasikiliza.Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe.
Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemi na hayafai. Leo wanasema ya mbegu mdiyo hayafai.
Hili linaukweli gani? Au tubwie tu wasituchoshe.
Mbona ndio yanatumika Sana,brand karibu zote ni mafuta ya mimea.Ni mbaya sana. Kama unachoma sana, mafuta ya wanyama yako fresh. Ukichoma mafuta ya alizet, yanazalisha free radical (sababu ya double bond between carbon) hivyo mafuta yanakuwa toxic.