Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,145
- 2,937
Brand sijawai ona ila kuna tabia ya kupikia mafuta wa wanyama yanayopatikana baada ya kukaanga nyama yenye mafuta. Mfano ukikaanga kitimoto inajitoa mafuta.Mbona ndio yanatumika Sana,brand karibu zote ni mafuta ya mimea.
Sijawahi ona brand mafuta ya wanyama
Hapa nakupata. Na hizi free radicals ni vileta kansa.Mafuta ya mbegu yana low melting point kwamba yakitokota yanazalisha sumu iitwayo free radicals.
Ndiyo maana hatushauriwi kula vya kukaanga.
Halafu, mafuta ya mbegu yana omega 6, sasa uwiano wa omega 3 na 6 haupo kama inavyotakiwa kuwa.
Cha kushangaza sangara ana mafyta mengi ila wakaangaji wanamkaanga kwa mafuta ya alizetiMafuta ya wanyama wanasema ni Saturated; yanahimili joto kali kama la kukaanga, kuoka nk
Mafuta ya mimea; Unsaturated; Hayahimili joto kali sana kama la kukaanga, Kuoka nk
hivyo; wanashauri tutumie mafuta ya mimea kwa mapishi ya kawaida yasiyohitaji kukaanga sana/Kuoka nk kama huku kijijini kwangu Shytown (sisi hatuna muda wa kukalangiza)
na mafuta ya wanyama pale unapohitaji kuoka/ kukaanga kwa moto mkali hadi kuunguza vitunguu?
Mafuta ya Nguruwe yangekuwa na shifa kungekuwa na tatizo kubwa, lakini hata ile kwenye kirimoto inaitwa "wazungu" inatafunika vizuri tu.Sayansi ya afya ya biashara
Wanatengeneza soko la mafuta ya nguruwe
Mafuta ya wanyama ni ghali zaidi. Wafanyabiashara ndiyo wasababishi wa haya yote.Mbona ndio yanatumika Sana,brand karibu zote ni mafuta ya mimea.
Sijawahi ona brand mafuta ya wanyama
Ni kosa kubwa kuzidi ccmKwa iyo mafuta ya Alizeti kwa Chipsi ni kosa