Dunia imejaa Smart People wenye Mashaka na Wapumbavu wenye Confidence.

Dunia imejaa Smart People wenye Mashaka na Wapumbavu wenye Confidence.

Lattafa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2025
Posts
497
Reaction score
738
Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana"

Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na imani kubwa na uthubutu.
Maarufu kama "Dunning-Kruger Effect," ambapo wapumbavu huamini sana bila ushahidi, ilhali werevu huchunguza na kushuku.
Mifano ni pamoja na Siasa, ambapo wafuasi wenye imani potofu huunga mkono sera hatari, Uchawa, Biashara haramu, Conspiracies , Tabiri, Ramli, Soga, Umbea n.k

Katika mitandao ya kijamii, imani isiyo na msingi huenea harakati kama mafua ya Covid, ikisababisha habari za uongo kufika mbali sana.
So si kila Mweshimiwa , Imfuluensa Mkurugenzi fulani ni bora saana Ila ni Conman. CONFIDENCEMAN.
 
Back
Top Bottom