The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
we have Idd amin MAMADunia imepoa ndio unavoweza kusema.
Dunia imepita watu wa maana ambao tutawakukumbuka daima.
Mtu kama Joseph Kony au Mungu wa vita, pale zaire ya zaman na DRC ya sasa alipita Mobutu sese seko pale Liberia watu kama Samuel Doe, prince Johnson, Charles Tylor waliushika ulimwengu pabaya sana.
Turudi tena East Africa au Afrika Mashariki tulibarikiwa mtu kama Iddi Amini Dada.
Pale middle east au mashariki ya kati nani hamjui Osama Bin Laden, Saadam Hussein, Hafidh al Assad.
Pumzikeni kwa amani mliotangulia dunia itawakumbuka daima
CNDD-FDD ,Kwa sasa wasumbufu ni Netanyahu pekee kwingine kumepoa.
Kuna kipindi cha around 1999-2020. Enzi za kina CNDD-FDD, Tamil Tigers, al Qaeda, Janjaweed na makundi kama hayo. Enzi UN General anasikika sana wa mwisho ni Ban Ki-moon, enzi Ujerumani ina Angela Merker, Urusi yupo Vladimir Putin, Syria ina Bashar al Assad, Japan ina Shinzo Abe.
Kipindi kubwa jinga Nigeria linchi likuubwa, eti wanamgambo wenye bodaboda na vibunduki viwili vitatu wanatorosha wanafunzi zaidi ya 200 na hadi leo kama 100 bado hawajapatikana.
Dodey sanko!!! Huyu jamaaa alikuwa jatili Sana kutoka kama sio sierra leoni sijui!! Any way binadamu Hana ujanja ni kujisahau tuuu!!! Wanakwambia mtu angekusimulia utawala wa kirumi ulivyokuwakatili ungeshangaa!! Leo haupo!! Hitler alikuwa sio mchezo unaambiawa Yan watu hawakuamini IPO siku hatakuwepo!!!Dunia imepoa ndio unavoweza kusema.
Dunia imepita watu wa maana ambao tutawakukumbuka daima.
Mtu kama Joseph Kony au Mungu wa vita, pale zaire ya zaman na DRC ya sasa alipita Mobutu sese seko pale Liberia watu kama Samuel Doe, prince Johnson, Charles Tylor waliushika ulimwengu pabaya sana.
Turudi tena East Africa au Afrika Mashariki tulibarikiwa mtu kama Iddi Amini Dada.
Pale middle east au mashariki ya kati nani hamjui Osama Bin Laden, Saadam Hussein, Hafidh al Assad.
Pumzikeni kwa amani mliotangulia dunia itawakumbuka daima
Baada ya kuwa napitapita Nairaland nimegundua Nigeria ni nchi pumbavu sana. Jmanne iliyopita wanamgambo wameua watu zaidi ya 50 huko Katsina. Linchi la watu mia mbili na kitu milioni lakini linazalosha MW 5,000 Tu. Lina maujinga mengine mengi kiasi kwamba Tz ni kama paradiso.Kwa sasa wasumbufu ni Netanyahu pekee kwingine kumepoa.
Kuna kipindi cha around 1999-2020. Enzi za kina CNDD-FDD, Tamil Tigers, al Qaeda, Janjaweed na makundi kama hayo. Enzi UN General anasikika sana wa mwisho ni Ban Ki-moon, enzi Ujerumani ina Angela Merker, Urusi yupo Vladimir Putin, Syria ina Bashar al Assad, Japan ina Shinzo Abe.
Kipindi kubwa jinga Nigeria linchi likuubwa, eti wanamgambo wenye bodaboda na vibunduki viwili vitatu wanatorosha wanafunzi zaidi ya 200 na hadi leo kama 100 bado hawajapatikana.
Nigeria nimeanza kuifuatilia muda ni nchi ya wendawazimu. Unaona hao Boko Haram walivyoteka wanafunzi, walikuwa wanaonekana kwenye satellites za US na ujasusi wa Uingereza ila Nigeria jeshi haliwezi waokoa, wala kuita mataifa ya nje yasaidie. Yaani hata location wanaambiwa na idadi ya wanaoonekana kwenye picha za uchunguzi. Mapumbavu yanalala tu.Baada ya kuwa napitapita Nairaland nimegundua Nigeria ni nchi pumbavu sana. Jmanne iliyopita wanamgambo wameua watu zaidi ya 50 huko Katsina. Linchi la watu mia mbili na kitu milioni lakini linazalosha MW 5,000 Tu. Lina maujinga mengine mengi kiasi kwamba Tz ni kama paradiso.
Laana ya mwafrika ipo hapa. Mtu anaingia kwenye siasa sio kwa ajili ya kuleta ustawi wa jamii bali ni kujilimbikizia utajiri..Wiki hii waalimu wa Nigeria walikuwa wanashauriana kuacha kazi. Tofauti kati ya wanasiasa na raia ni kubwa mno.
Hii imeenda hii Safi Sana kwa ukumbusho mzuri1. Wamba Dia Wamba
2. Laurent Nkunda
3. Bosco Ntaganda
4. Mamadou Ndala
(Wakishaanza kuzungumziwa tu hawa jamaa huwezi kusikia majina ya miji kama Kinshasa au sijui Lubumbashi, Mzee humu utasikia tu RCD Goma, RCD Kisangani, Mbuji Mayi, Kananga)
5. Slobodan Milošević (Mwanamama Oumilkheir anaunguruma saa 7 mchana DW Radio, unasikia tu vita va kugombea Jimbo la Kosovo kati ya Waserbia na Wakurdi)
6. Hujatulia kidogo unasikia kuna Kanali Bakari kashakorofisha huko Comoro.
7. Mara unakutana na ugomvi wa Bi Angela Merkel na Gerhard Schröde, unasikia mara sijui mrengo wa kijani, huelewi kitu Mzee 😅😅.
8 Huko Afghanistan kwenye milima ya Tora Bora kuna muhuni anaitwa Mullah Mohammed Omar nae kakiwasha.
9. Twende mashariki ya kati sasa: Huku utasikia ukanda wa Gaza, magharibi ya mto Jordan. Humu hayawezi kukosekana majina kama Benjamin Netanyahu, Mahmoud Abbas, Shimon Peres na Baba wa taifa la Palestine toka chama cha ukombozi PLO, hapa namzungumzia Yaser Arafat.
10. Huwezi kukosa taarifa ya India na Pakistan kugombania Jimbo la Kashmir, hapa humkosi muhuni Perves Musharraf.
11. Hujakaa sawa unasikia Muamar Ghadafi na Hosni Mubarak wana kikao sijui wanajadili amani kati ya Israel na Palestine.
12. Sudani napo kuna habari za John Garang anagombania ukombozi wa Sudan kusini toka kwa Omar El Bashir
Ilikua ni kama unaangalia movie vile. Kuna muda unajiuliza hawa jamaa wako serious ama wanaigiza, maana matukio ni episode after episode. Unajaribu kujenga picha huko kwenye hizo nchi watu wanaishije?! Aiseeh kumbe nishakua Mzee sasa, maisha yanaenda kasi sana. Nimechoka kutype. 😅
Matukio mengine hapo sijazaliwa na mengine bado mdogo. Hivyo nawasoma kwa historia ingawa nawapata vizuri.1. Wamba Dia Wamba

Sasa mbona kuna watu wanasema Tanzania aliyeturoga kafaNigeria nimeanza kuifuatilia muda ni nchi ya wendawazimu. Unaona hao Boko Haram walivyoteka wanafunzi, walikuwa wanaonekana kwenye satellites za US na ujasusi wa Uingereza ila Nigeria jeshi haliwezi waokoa, wala kuita mataifa ya nje yasaidie. Yaani hata location wanaambiwa na idadi ya wanaoonekana kwenye picha za uchunguzi. Mapumbavu yanalala tu.
Hata wanakijiji waliokuwa wanakata mkaa na kuwinda waliokoa wale mabinti kwa wingi kuliko. Wale mabinti wenyewe hadi waliopambana walitoroka wakaja uraiani, jeshi walikuwa wakata viuno tu.
Huwezi amini basic salary ya mwanajeshi wa chini kabisa wa Nigeria haifiki hata laki moja ya Tanzania (TZS 100,000). Walivyo wehu tena, eti kuna meal allowance ambayo kimaandishi ni kubwa kuliko mshahara ila chakula mnapewa tena kibovu, ila bado ni kama 5,000 TZS kwa siku. Mwanachuo wa Tanzania anapewa hela ya kujikimu kubwa kuliko mwanajeshi wa Nigeria. Na nchi kubwa ile ina resources zaidi yetu.
Ila ufisadi jeshini umepindukia. Ndio maana kati ya kitu sitamani kusikia ni mapinduzi Nigeria. Bora itokee scenario ya bodaboda (kwao wanawaita okada) ambao wengi wao wana elimu nzuri tu, ndio waongoze nchi kuliko wanajeshi.
Wiki hii waalimu wa Nigeria walikuwa wanashauriana kuacha kazi. Tofauti kati ya wanasiasa na raia ni kubwa mno.
Dunia imepoa ndio unavoweza kusema.