Umetisha saana , Meza ya Duala pale DW ilikua ni hatari saana kweli nyakati zinakimbia1. Wamba Dia Wamba
2. Laurent Nkunda
3. Bosco Ntaganda
4. Mamadou Ndala
(Wakishaanza kuzungumziwa tu hawa jamaa huwezi kusikia majina ya miji kama Kinshasa au sijui Lubumbashi, Mzee humu utasikia tu RCD Goma, RCD Kisangani, Mbuji Mayi, Kananga)
5. Slobodan Milošević (Mwanamama Oumilkheir anaunguruma saa 7 mchana DW Radio, unasikia tu vita va kugombea Jimbo la Kosovo kati ya Waserbia na Wakurdi)
6. Hujatulia kidogo unasikia kuna Kanali Bakari kashakorofisha huko Comoro.
7. Mara unakutana na ugomvi wa Bi Angela Merkel na Gerhard Schröde, unasikia mara sijui mrengo wa kijani, huelewi kitu Mzee 😅😅.
8 Huko Afghanistan kwenye milima ya Tora Bora kuna muhuni anaitwa Mullah Mohammed Omar nae kakiwasha.
9. Twende mashariki ya kati sasa: Huku utasikia ukanda wa Gaza, magharibi ya mto Jordan. Humu hayawezi kukosekana majina kama Benjamin Netanyahu, Mahmoud Abbas, Shimon Peres na Baba wa taifa la Palestine toka chama cha ukombozi PLO, hapa namzungumzia Yaser Arafat.
10. Huwezi kukosa taarifa ya India na Pakistan kugombania Jimbo la Kashmir, hapa humkosi muhuni Perves Musharraf.
11. Hujakaa sawa unasikia Muamar Ghadafi na Hosni Mubarak wana kikao sijui wanajadili amani kati ya Israel na Palestine.
12. Sudani napo kuna habari za John Garang anagombania ukombozi wa Sudan kusini toka kwa Omar El Bashir
Ilikua ni kama unaangalia movie vile. Kuna muda unajiuliza hawa jamaa wako serious ama wanaigiza, maana matukio ni episode after episode. Unajaribu kujenga picha huko kwenye hizo nchi watu wanaishije?! Aiseeh kumbe nishakua Mzee sasa, maisha yanaenda kasi sana. Nimechoka kutype. 😅
Kwanini tujilinganishe na waliofeli wakati waliofaulu wapo.Sasa mbona kuna watu wanasema Tanzania aliyeturoga kafa
Katibu Mkuu wa UN alikua Koffi Anan kutoka Ghana. Kenya nao hawakua nyuma chini ya Rais Daniel Arap Moi kuna vugu vugu la wanasiasa watata kama Professor George Saitoti, Raila Odinga, Musalia Mudavadi, Kalonzo Musyoka walikua wa moto balaa. Pale India unakutana na Manmohan Singhs, Indonesia kuna Megawatt Surkanoputri. Uganda ugomvi wa Museveni na Dr. Kiiza Besigye haujaanza juzi ama jana. Pale Ghana Jerry Rawlings alifanya kazi kubwa sana kuaeadhibiti wahuni, jamaa anafanya mapinduzi halafu hataki kua rais anapropose mtu mwingine akae pale, akizingua anampindua tena anakaa yeye. Olesegun Obasanjo ni jina kubwa sana Africa unapozungumzia siasa za Nigeria.Matukio mengine hapo sijazaliwa na mengine bado mdogo. Hivyo nawasoma kwa historia ingawa nawapata vizuri.
Ila in 2000s na 2010s kulikuwa na mambo yake. Harakati za wanadiplomasia zilikuwa nyingi, mmojawapo mzee Lakdhar Brahimi kutoka Algeria, mshauri wa masuala ya Syria mwanzoni wakati wanaanza civil war. Sasa hivi hakuna wanadiplomasia tangible ambao hata niwakariri majina.
Sasa hivi uliza watu nani US Secretary of State, wengi hawamjui Marco Rubio na wala hashawishi. Sasa nani asingemjua Condoleezza Rice na roho mbaya yake?
Ukija hata kwa Secretary of Defense yule Pete anafanana mwanamitindo, kazi kunyuka suti zinazobana slim fit huku nywele kapiga dawa kalaza nyuma unaweza hisi ni mbunifu wa Yves Saint Laurent.
Mkuu wa UN Ban Ki-moon akizungumza anaonekana UN kuna kitu imefanya. Siku hizi UN hata peacekeeping hawaweki nguvu.
Miaka hiyo ICC inaendeshwa mashtaka na Luis Moreno Ocampo, sasa hivi sijui nani baada ya Fatou Bensouda. ICC hawana meno zaidi.
Viongozi waliozoeleka zama zinapita. Baada ya Shinzo Abe kuondoka, nafasi ya Waziri Mkuu wa Japan duniani haina nguvu tena. Baada ya Angela Merker, Chancellor hana mashiko sana. Brazil wakati ina Lula da Silva wa mwanzo ilisikika sana sio huyu mzee wa sasa.
Trump na Biden nao wanafanya POTUS aonekane si lazima awe mtu wa kipekee.
Hata viongozi wa sasa wanajikuta hawafahamiani sana. Uingereza inabadiliki PM kama wapishi.
Umemtaja Olusegun Obasanjo nikamkumbuka Ibrahim Babangida bingwa wa siasa za majitaka na mtu pekee mwenye mkono kwa wanasiasa wengi kutokea pale Nigeria. Ama kwa kuwauwa, kuwafanya wawe Marais kwa mapinduzi.Katibu Mkuu wa UN alikua Koffi Anan kutoka Ghana. Kenya nao hawakua nyuma chini ya Rais Daniel Arap Moi kuna vugu vugu la wanasiasa watata kama Professor George Saitoti, Raila Odinga, Musalia Mudavadi, Kalonzo Musyoka walikua wa moto balaa. Pale India unakutana na Manmohan Singhs, Indonesia kuna Megawatt Surkanoputri. Uganda ugomvi wa Museveni na Dr. Kiiza Besigye haujaanza juzi ama jana. Pale Ghana Jerry Rawlings alifanya kazi kubwa sana kuaeadhibiti wahuni, jamaa anafanya mapinduzi halafu hataki kua rais anapropose mtu mwingine akae pale, akizingua anampindua tena anakaa yeye. Olesegun Obasanjo ni jina kubwa sana Africa unapozungumzia siasa za Nigeria.
young nigga get moneySa hv tunaye Putin,Trump,Kiduku wa korea na yule kobaz wa iran
Kwanini tujilinganishe na waliofeli wakati waliofaulu wapo.
kwasababu upeo wako mdogo huwez elewa nilichomaanisha na ninahisi hata uchukue ukoo wako huwezi elewa nilichomaanisha na siwez kukuambia nilichomaanishaKwanini tujilinganishe na waliofeli wakati waliofaulu wapo.