Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Siafiki kabisa watoto wanafunzi waliopata ujauzito kurejea shule rasmi.

Tafiti iliyofanyika hivi karibuni, kwa maelezo ya mshiriki ITV wa mada kuhusu hili suala, kati ya 2015-2019 wanafunzi waliopata ujauzito waliongezeka kwa 90%. Hakutoa sababu zaidi ya kulaumu kuwa katazo ndilo linachochea.

Ukweli ni kwamba tupo kwenye karne ya TEHAMA watoto wanaona ngono mitandaoni na hivyo kushawishika kujaribu. Kuruhusu warudi shuleni hakuna shaka kutachochea na kusababisha mlipuko wa watoto wazazi shuleni.
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kaziiendelee Mama tuko imara
 
Huu ni msiba mkubwa wa taifa hili. CCM ni genge la maslahi ambalo limejimilikisha vyombo vya dola na rasilimali za taifa. Linaongoza nchi kwa utashi wa kiongozi wake basi. Hakuna cha katiba, sheria, wala kanuni.

Kifo cha magufuli katikati ya awamu yake kinadhihirisha ukweli huo. Chama kile kile, watu wale wale, ilani ile ile lakini unafikiri kulikuwa na mapinduzi ya kijeshi yaliyomuingiza SSH madarakani.
 
Sasa wewe nini kinakutatiza mkuu??!
 
Mkuu unajua kazi ya makamu wa rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…