Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers


Hv kwa yule atakae mpatisha mimba inakuaje Sasa? Jela miaka 30 au?
 
ccm ni genge la ajabu sana.....aliyewazuia ni rais (mwenyekiti wa ccm) na samia alikuwa makamu, why didn't she protest? Leo amekuwa rais na mwenyekiti wa ccm eti anaruhusu. Aliyezuia na waliomsupport ni kamati kuu ya ccm walewale na halmashauri yao pamoja na mkutano wao mkuu...........kisha watu wanashangilia
 
Zanzibar imo nchini Tanzania na inatumia mfumo wa elimu ya Tanzania lakini wasichana waliopata mimba huruhusiwa kuendelea na masomo wakijifungua! Mapacha wangu Kulwa ni wa kichina na Doto wa kisomali!
 
Mkuu punguza wasiwasi, Naamini hii ni njia bora zaidi
 
Nampongeza Rais kwa uamuzi huu.Kwanza hakuna hoja yenye mantiki kwamba mimba Sasa izuie Mtu kupata elimu basic..

Seems WAnaOpiNGa Ni KamA HaziWAtOs
 
Nakubaliana na watoto wa kike kurudi shuleni lakini lazima pia tuongelee vijana wa kiume wanaowapa mimba. Kama ni suala la ubakaji sina neno lakini kama ni matokeo ya mapenzi bila kubakwa kwa hoja hiyo kwamba wote ni watimilifu na miili inahitaji tendo la ndoa basi sheria irekebishwe ila kuepusha upendeleo kwa wasichana ambao pia wanaweza kulazimisha kujamiina na matokeo yake ikawa haya tunayoyaongelea sasa.
 
alafu mtoa maada na ww unajiita mwanume😀😀
Kwani husikii matangazo yamebadirika siku hizi , nimesikia redioni tangazo moja likisema eti ," mabinti wa kike", watu wengi tulijiuliza sana kuna nn tusichojua kwenye jamii yetu hii, vingine vinaandaliwa gizani siku vinayotolewa hadharani ni mishangao tupu,
 
Mkuu ulimwengu unaongozwa na mashetani huu, ukidhani hilo hawajui utashangaa mpaka YESU atakukuta unashamgaa dunia inatakiwa iwe imeingia zama za sodoma na gomora sasa hivi, hivyo kuona kuna mfumo wa elimu duniani unasimamia maadili kwa kizazi chao hao wanaoongiza hii dunia hawataki kuona, ndio maana hayati alisema misaada yenye masharti ya kipumbavu ndio hii msishangae,
 
Una uhakika kwamba wanafunzi wa shule za kidini hawapati mimba? Kumbuka shule hizi zinakufukuza kwa kisingizio cha kukosa maadili na hamna mwenye ubavu wa kuwauliza. Maamuzi ya kidikteta na danganya toto tu.
 
Sukuma Gang wamekasirika balaa, wamefura, wanapumua kwa shida sana na ushamba wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…