Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

.
Sijaelewa hasa hoja yenu ni maadili au mimba? kwamba Iwekwe sheria tu kwamba binti asiye bikra afukuzwe shule!! Wafanyiwe forensic check ups kma wameingiliwa alafu ikigundulika wafukuzwe wote???

Ama issue ni mimba kwamba wanaofanya uzinzi kwa kutumia condom basi wao waendelee kusoma sababu wana maadili?

Embu tuelimisheni?
 
Na wajiandae kukosa hao wazazi wanafunzi maaana hatakwenda mtu maaana anae mpa mimba ni kijan wa kimaskin je akienda huko shule huyo mtoto Serikari itakuja kumtunza mtoto?
 
Na wajiandae kukosa hao wazazi wanafunzi maaana hatakwenda mtu maaana anae mpa mimba ni kijan wa kimaskin je akienda huko shule huyo mtoto Serikari itakuja kumtunza mtoto?
Kwani asipoenda nani anamuhudumia?
 
Awamu ya 5, tulikuwa donor kantri hata wa kupeleka washamba nje!
 
mabaharia wenzangu tusiichezee hii bahati....muongozo mpya ni tunaanza na fom4 af tkashawajaza tnasogea mkoa
 
Huyo Rais wenu kilaza awaandalie hao wanafunzi wajawazito sehemu za kuishi maana sisi wazazi wao tutawatimua majumbani kwetu wameshakuwa wamama wajitegemee
 
Unaweza kujionea maajabu ndani ya chama kuna wanafiki kibao wapi kwa ajili ya maslahi yao pekee.
 
Kwa hili namuunga mkono SSH, wapewe adhabu kali ikiwemo fine au kazi ngumu ila wasinyimwe haki ya kusoma.

However kma aliempa mimba ni under 18 basi miaka 30 iwe substituted na kifungo cha nje. Itakua win win situation.
Mimba zote sio chanzo kimoja adhabu ni kuwaonea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…