Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

Dunia imemwelewa sana Rais, Huyu Mama anatufanya tupate heshima zaidi kimataifa,
 
Halalisheni tu sasa wazae hata wanyonyeshe madarasani tukiwa tunawafundisha na ikiwezekana ndoa ziruhiswe baina yao mashuleni wakiamua na wapewe chumba kimoja na wenzi wao hasa wale wa bweni.

Na muache kuwaonea waalimu wanaowatia mimba na kuwawowa na wale wajamaa mnaowapiga 30years muwache. No hayo tu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo liko wapi?
 
Kwa hiyo dunia imesimama lini? Hili jukwaa ni fulla of idiots. Misifa ya kishamba!
 
Rekebisha heading , Dunia haijawahi kusimama na watawala wanafiki na waongo , wenye ndimi mbili mbili kutoka ccm , huyu alikuwemo kwenye utawala ule ule ulioshabikia unyama , badilisha , andika hivi Samia asimama na dunia kama ubinadamu unavyotaka .

Msiwabebeshe watu sifa ambazo hawana
 
Povu la nini si ujinyonge tu [emoji23][emoji1787]
 
CHADOMO KATIKA UBORA WAKO
 
Sheria za kidwanzi mbebaji wa mimba aanarudi shule mbebeshaaji anakulaa 30..hizo ni akili kweli..et tuna wasomi
Akili kibaba kweli.
 
ushahidi wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…