Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

 
 
 
Kila mwaka zaidi ya wasichana 6,500 wakiTanzania waliachishwa|walifukuzwa shule kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni,

Mwaka 2017 aliyekuwa Rais wa Tanzania...
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 

Tanzania to allow students to attend school after giving birth​

===
Government reverses controversial 2017 policy instituted by the country’s late leader, John Magufuli....
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
Kwa hili namuunga mkono SSH, wapewe adhabu kali ikiwemo fine au kazi ngumu ila wasinyimwe haki ya kusoma.

However kma aliempa mimba ni under 18 basi miaka 30 iwe substituted na kifungo cha nje. Itakua win win situation.
Kama kuna wakati Tanzania inaweza kujivuna kuwa na Rais Makini basi ni huu,
 
Mungu ampe maisha marefu Rais Samia Suluhu Hassan
 
Mungu ampe maisha marefu Rais Samia Suluhu Hassan
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Nchi haikuzuia waliopata ujauzito na kujifungua kupata elimu bali kinachogombewa hapa ni kutakiwa kurudi kwenye mfumo uleule wa elimu na sio kupitia mfumo mwingine.labda kanuni zitatuongoza maana hatujui mwanafunzi mja mzito atakaa shuleni kwa miezi mingapi ya ujauzito na atashiriki vipi na wenzake katika mambo mbali mbali akiwa mjamzito....anapojifungua atapata likizo ya uzazi kwa muda gani na utaratibu wa kunyonyesha anapokuwa shuleni ukoje?je mfumo wa elimu wa sasa unatoa fursa kwa mja mzito au mzazi kusoma bila
shida??
 
Nimekuuuliza nitajie hata mumoja tuu aliebaka mwanafunzi na kipi kimefuataaa.

huyu mwamba wamafikirie kidogo manake binti aliamua kumpikia kabisa na msosi ili awajibike vizuri

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…