Dunia ina Mambo: Nilivyozama mapenzini na dalali wa wanawake wanaojiuza

Dunia ina Mambo: Nilivyozama mapenzini na dalali wa wanawake wanaojiuza

Uliamini kwamba yeye hajiuzi? Huyo alikuwa kiongozi wa wauza nyapu. Bora hata ulivyomuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana yeye alishajiuza sana huko nyuma kwa hiyo alitumia nafasi hiyo mpaka aka develop ujizi wa kugundua biashara na inamlipa. Kwa wakati huo nadhaninyeye alikuwa ameahaacha maana sikuwahi kuona viashiria au matendo ya kutilia shaka. Alihakikisha anaishi maisha ambayo nitamwamini.
 
Kwa nini akutoe roho wakati unamuungisha kwenye biashara yake ya ujasiriamali?

Maendeleo hayana chama
Wewe kama unauza nyama harafu ndugu zako mnaokaa nyumba moja wanaenda kununua nyama kwenye bucha la jirani wakati kwako zimejaa tele utafurahi?
 
Wewe kama unauza nyama harafu ndugu zako mnaokaa nyumba moja wanaenda kununua nyama kwenye bucha la jirani wakati kwako zimejaa tele utafurahi?
Kwani yeye alikua anauza?
Kama kununua si ndio unanunua hapo kwake.
Yaani mfano rahisi ni yeye amefungua mabucha mawili hivyo ukichagua wewe kununua nyama kwenye bucha lolote kati ya hayo mawili utakua umemuungisha yeye kwenye biashara yake, hivyo kama ana akili hawezi kuchukia.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom