Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,103
Sikuachwa bali tulitengana kimazingira nilihamishwa kazi.
Hata hivyo kazi yake ile sikuipenda sana. Kazi ya kuuza nyapu za wenzie.
Kimasihara sana yaani
Inaonekana yeye alishajiuza sana huko nyuma kwa hiyo alitumia nafasi hiyo mpaka aka develop ujizi wa kugundua biashara na inamlipa. Kwa wakati huo nadhaninyeye alikuwa ameahaacha maana sikuwahi kuona viashiria au matendo ya kutilia shaka. Alihakikisha anaishi maisha ambayo nitamwamini.Uliamini kwamba yeye hajiuzi? Huyo alikuwa kiongozi wa wauza nyapu. Bora hata ulivyomuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefunga Pm mkuuNifate PM, au unataka kumendea na biashara yake??
Shida alikua muoga sana ndio nnachokiona hapoNimecheka sana, aliachwa itakuwa alichit tu hakuna kingine ama dau lilimshinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha Mkuu ww hujauziwa unachukia wengne kuuziwa tena muuzaji sio yeye?Sikuachwa bali tulitengana kimazingira nilihamishwa kazi.
Hata hivyo kazi yake ile sikuipenda sana. Kazi ya kuuza nyapu za wenzie.
Siku moja ungemwambia akutaftie demu mkali na wewe umuungishe kwenye biashara yake.Sikuachwa bali tulitengana kimazingira nilihamishwa kazi.
Hata hivyo kazi yake ile sikuipenda sana. Kazi ya kuuza nyapu za wenzie.
Hahaaaa unataka anitoa roho weweSiku moja ungemwambia akutaftie demu mkali na wewe umuungishe kwenye biashara yake.
Maendeleo hayana chama
Ngoja nikufungulieUmefunga Pm mkuu
Sent using My Iphone X 2019
Kwa nini akutoe roho wakati unamuungisha kwenye biashara yake ya ujasiriamali?Hahaaaa unataka anitoa roho wewe
Wewe kama unauza nyama harafu ndugu zako mnaokaa nyumba moja wanaenda kununua nyama kwenye bucha la jirani wakati kwako zimejaa tele utafurahi?Kwa nini akutoe roho wakati unamuungisha kwenye biashara yake ya ujasiriamali?
Maendeleo hayana chama
PM umefunga mzee haifungukiNifate PM, au unataka kumendea na biashara yake??
Kumbe uko serious??pm umefunga mzee haifunguki
Kwani yeye alikua anauza?Wewe kama unauza nyama harafu ndugu zako mnaokaa nyumba moja wanaenda kununua nyama kwenye bucha la jirani wakati kwako zimejaa tele utafurahi?
ndioKumbe uko serious??
Ha ha ha ha Mkuu ww hujauziwa unachukia wengne kuuziwa tena muuzaji sio yeye?
Daah Inafikrisha
Sent using Jamii Forums mobile app