Inaonekana yeye alishajiuza sana huko nyuma kwa hiyo alitumia nafasi hiyo mpaka aka develop ujizi wa kugundua biashara na inamlipa. Kwa wakati huo nadhaninyeye alikuwa ameahaacha maana sikuwahi kuona viashiria au matendo ya kutilia shaka. Alihakikisha anaishi maisha ambayo nitamwamini.
Soma Juu jibu la mtoa mada hapoTupe uthibitisho kuwa ‘yeye’ si muuzaji.
Kuna mahali kasema aliachwa ?
Hata wanawake wa kimachame nao wana moyo wa kupenda ?Hiyo ni kazi kama kazi zingine na wao pia wana moyo wa kupenda kama wewe ila hukumalizia story kwanini mliachana?
Sikuachwa bali tulitengana kimazingira nilihamishwa kazi.
Hata hivyo kazi yake ile sikuipenda sana. Kazi ya kuuza nyapu za wenzie.
Sometime na yeye dau likiwa zuri anapigwa miti yeye. Sema ni wajanja sana na wana akili mno.Hawa madalali huwa wanakuwa wanafahamiana na mademu wengi sana. Tena wakali wakali, utapata kila sample! Alafu kila demu ni rafiki yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipooa mke wangu mpenzi nikaachana naye.
Ndio mkuu. Homa ya inni imeanza kupimwa hapa Bongo kwa wingi 1999Hivi mwaka 2007 tayari kulikuwa na mambo za kupima Homa ya Ini!?
Nimeuliza tu
Kwakweli nilikuwa namkwapa kwepa kwa sababu nilihisi ni Gold digger. Kumbe ana vyanzo vyake vya pesaHapa ndio ulipokosea jomba dah!!! Asee ulifeli sana mkuu. Hujui alitaka kukutunuku nini asee.
ilinishangaza. Nilidhani wao wamepinda hawana habari na mambo ya DyudyuHiyo ni kazi kama kazi zingine na wao pia wana moyo wa kupenda kama wewe ila hukumalizia story kwanini mliachana?