Dunia ina mwisho wa kutembea, je kukoje ukitembea hadi mwisho wa dunia

Dunia ina mwisho wa kutembea, je kukoje ukitembea hadi mwisho wa dunia

Ramtz Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2026
Posts
269
Reaction score
529
Dunia ina mwisho kutembea je utumie usafiri gani ufike mwisho wa dunia ndio je kukoje?
 
Mi "huamini" kila unapokutana na bahari kwa hapo ulipo ndipo mwisho wa dunia.
 
Mleta mada atakuwa dogo flani. Badala ajibiwe vizuri wanamwambia akale, kwani amewaambia ana njaa?

Punguzeni ujuaji.
 
Dunia ina ukuta ambao huwezi kuutatiza ukiwa hai ncha ya kaskazini kuna ukuta wa barafu and kuna hali mbaya sana ya hewa jumlisha baridi kali, mbali na hilo ni eneo ambalo haruhusiwi mtu kulivuka na linalindwa vibaya, ncha ya kusini kuna bahari ambayo ina hali mbaya sana ya hewa meli huwa hazikatishi huko ukilazimisha utaenda na hakuna kurudi
 
Back
Top Bottom