Dunia ina Umri gani?

Mkuu umejidhalilisha Sana,
Shule ulienda kukariri Tu
 

No body knows
 
Yote kwa yote
Kuna gossip na Kuna gospel

Learn to praise
Ni lazima tusifu kuwa sisi ndio viumbe waliobarikiwa zaidi duniani....In what context do I mean....angalia quantum computer still can't beat human brain... Watch out praise and live with it....
 
Mungu aliyeiumba Dunia.... Jehovah.
Kumbe dunia imeumbwa,? Okay! Imeumbwa kwa kutumia material gani?,
Na kwann iumbwe? Nakwann wanadamu waishi bila ridhaa yao? Au wanyama waishi bila ridhaa yao? Kwann tusipewe mda wa ku experience maisha ya dunuani kabla hatujaumbwa? ,,,,la sivyo jehovah ni katili,kwann anilete huku kwenye dunia yake iliyojaa mateso,ubaya navinginevyo bila ridhaa yangu? Why!!
 
Just live with yourself....try to understand yourself.....stop that dualistic mindset.... Emptiness is emptiness and form is form....just face the reality as it is...
 
Just live with yourself....try to understand yourself.....stop that dualistic mindset.... Emptiness is emptiness and form is form....just face the reality as it is...
Kwani mimi sindio nimesema ukweli? Au wewe ulitonywa kuja huku? Yaani ukweli utabaki kuwa ukweli i katuumba bila ridhaa yetu then tukifa anaenda kutuchoma na moto pia ,huoni huo ukatili ni mbaya sana unazidi hadi wa adolph Hitler?
 
Kwani mimi sindio nimesema ukweli? Au wewe ulitonywa kuja huku? Yaani ukweli utabaki kuwa ukweli i katuumba bila ridhaa yetu then tukifa anaenda kutuchoma na moto pia ,huoni huo ukatili ni mbaya sana unazidi hadi wa adolph Hitler?
You seem ignorant right? Because you act one!! Stop arguing! go seek knowledge.......go and fight your mind....


Learn to praise little kid....
 
You seem ignorant right? Because you act one!! Stop arguing! go seek knowledge.......go and fight your mind....


Learn to praise little kid....
Whatever path you decide for your own life...theist,a kuanzia kwenye animism polytheism monotheism na taka taka zote...deist....atheist as I am.....Mungu ni neno....Ndio maana unaambiwa anajua kila kitu.....anaijua Leo yako kesho yako na sasa yako.....kwahiyo jitahidi kuchunga ulimi wako utakupoteza.....I am not living in your mind....what you see is just a social convention....wewe una maisha yako yaishi....kumbuka Dunia tambara bovu......ukipotea njia! Bwana Mungu, mind you!!! Namaanisha neno in what sense? Kaa, tafakari atakuokoa....
Soma sana vitabu!!!!!
kila sifa uliyokuwa nayo wewe na mwenzako anayo mnachotofautiana ni kiasi Cha ujinga.....samahani! nimependezwa kukufundusha namna ya kuishi.....Piga vita ujinga, treat yourself with knowledge.....Hisia ni mbaya 👍 mean.....but desire has no mean....
 
Eternal God knows

Mungu ni neno....Ndio maana unaambiwa anajua kila kitu.....anaijua Leo yako kesho yako na sasa yako.....kwahiyo jitahidi kuchunga ulimi wako utakupoteza.....

Kwahiyo Mungu alikua ANAJUA yatakayotokea Israel vs Hamas
Ailikua anajua wale watoto watakufa kwa njaa kule Sudan
Alikua anajua wale watoto pale hspt ya saratani muhimbili watazaliwa na saratani and will suffer and die with agony
AND HAS NOTHING TO DO ABOUT IT?
 
Understand me brother in simple sense.....we define Mayu through his action....popote panapotokea machafuko Mungu hayupo ask me why....jibu ni simple hakuna neno la Mungu linafundisha kuua mtoto mchanga Kwa hiyo Moja Kwa Moja pale watu wamelikataa neno....

Language is tricky what most don't understand ni kwamba lugha ilimkuta mwanadamu duniani...
 
Nadhani inategemea na namna tu unavyotazama MAENDELEO.

Ukitazama maendeleo kama mchakato unaoathiriwa na mambo kadhaa kama Mila na Mazingira (CULTURE & ENVIRONMENT), basi utaona utabadili mtazamo huu wa kuwa 'sisi wa sasa' tunaakili au tumeendelea kwa kasi kuliko wa 'zamani'.

Licha ya dunia kuwa na umri zaidi ya miaka Bilioni 13, mwanadamu (huyu wa sasa) amekuwepo takribani miaka 200,000 tu iliyopita. Hadi alipoanza kulima na kufuga na kuacha maisha ya kulandalanda miaka 30,000 KK ndipo Kasi kubwa ya maendeleo alianza kuipiga hapa—TAWALA ZA KISIASA mf Mesopotamia, MILA NA DESTURI, SERIKALI, ZANA ZA KAZI NA VITA NA UBUNIFU NDIO ULIOANZA HAPA. Bila kuanza kilimo, wabunifu wasingekuwepo kwani hawakuwa na hofu tena ya njaa wasipotafuta chakula.

Toka miaka 30,000 KK kuja mbele, mwanadamu amekuwa akifanya bunifu mbalimbali ambazo ndio hadi sasa zimewezesha kasi hii unayoisema sasa.

Mfano 1. Gunpowder ilivumbuliwa kwanza miaka ya 140BK na kuja kuwa sawia mwaka 900 BK bunduki yake ikaja tengenezwa mwaka 1000BK. Risasi ya kwanza yenye kufanana na 'usasa' ilitengenezwa mwaka 1400.

Mfano 2. Kompyuta ilianza vumbuliwa miaka ya 1880, semiconductor ilivumbuliwa 1870. Lakini ni toka mwaka 1820 ndipo semiconductor as a concept ilianza kuappear kwa kina Thomas Seebeck. Ambao nao kuna kazi ilifanywa na watu awali ya kuchaganya Potassium n.k ili kuitengeneza. Navyo vilihitaji umeme ambao ulivumbuliwa miaka ya 1700. So, unaweza jiuliza ilitokea nini toka mwaka 1700 ndio Kompyuta ipatikane 1880!?

Mfano 3. Rejea historia ya Locomotive.

Hoja yangu ni kuwa, maendeleo ni mchakato ambao unarithishwa kizazi hadi kizazi, ambapo ili upate teknolojia fulani—ambayo ndio nguzo ya maendeleo ya mwanadamu—ni muunganiko wa vumbuzi mbalimbali za nyuma ambazo zimepitia vipindi virefu vya 'Trials and Errors'.

Kasi ya maendeleo inaathiriwa pia sana na Masuala ya mazingira na tamaduni. Mfano, ni ukweli kuwa toka 1500, ndio maendeleo yalishika kasi sana sababu ya kupitia ZAMA ZA MUANGAZA. Ambazo zilibilisha sana Ulaya. Kwa vipi? FIKRA HURU NJE YA DINI NA TAFITI NDIO ZILIANZA ONGOZA MAISHA YAO.

Matibabu yalianza chunguza hasa nini kinatokea kwenye mwili wa wanadamu badala ya kuhusianisha magonjwa na imani za kimungu—MAENDELEO MAKUBWA YA FANI YA AFYA NA UTABIBU.

Uongozi ukaanza kutazamwa kwa UWEZO(MERITOCRACY) na si KUZALIWA—UFALME UKAFA, na kuanza kwa demokrasia, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora—INCLUSIVE SOCIETIES. So, kama Enlightenment ideas zingeanza mwaka 1000BK, pengine Kompyuta zingevumbuliwa 1500. 😄
 

Mkuu sielewi unamuamini Mungu yupi na kupitia maneno yake matakatifu yapi?

Lakini kama ni Bibilia au Quran kuna verse kibao zinazo ruhusu watoto kuuliwa
 
Mkuu sielewi unamuamini Mungu yupi na kupitia maneno yake matakatifu yapi?

Lakini kama ni Bibilia au Quran kuna verse kibao zinazo ruhusu watoto kuuliwa
I don't believe in God but word of God and life of Jesus Christ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…