AMA KWELI SHETANI NI MUONGO SANA
Na bahati mbaya sana anawatumia watu tunaowaamini sana.
Tunawaamini sana Wana sayansi lakini wamejaa ushetani na uongo.
Wanatumiaka kurubuni watu kuwa Binadamu ametokama na Nyani munhu hayupo nk.
Dunia ni mpya mno ni mpya sana
1. Angalia vizazi vi 5 kutoka wewe angalia babu zako walivyoishi kwa ujima.
2. Angalia Miundombinu mipya simu, umeme, ndege , magari nk
3. Angalia sciance na technolojia.
4 Angalia na historia Kabla ya uhuru na Baada ya uhuru.
BIBLIA KITABJ CHENYE TAARIFA ZOTE KINASEMA DUNIA INA MIAKA 6000 TU
KIZAZI CHA ADAM HADI YESU NI MIAKA 4000+2000=6000
Mwenye swali anakaribishwa.