Dunia ina Umri gani?

Dunia ina Umri gani?

Haya ni makadirio tu ya kisayansi hususani kwa kupima umri wa miamba kwa kutumia miyonzi.

Lakini hili sio jibu la uhakika
Yes ni makadirio yanayokaribia ukweli baada ya tafiti za kisayansi ,sio kuambiwa eti dunia ina miaka 6000 bila tafiti yoyote ,na kulazimika kuamini kwa hofu ya kuchomwa moto huko kwenye mawingu
 
Nothing doesn't exist.

Einstein relativity inasema kwamba.

"The rate at which time passes, Depends on your frame of reference"

Yani kuji uliza kuhusu uwepo wa kitu fulani lazima uwe na frame of reference.

Sasa kuuliza Dunia ili jitengenezaje, mtu lazima aoneshe ana frame of reference ipi?

Yani kwanza, kwa nini anadhani dunia ilijitengeneza au imetengenezwa.
Time passes different to different observers ,

1st scenario.
Now imagine you're having a cup of coffee and unfortunately you slightly displaced the cup of coffee on the ground and it broke into several pieces

2.nd scenario.

Now imagine you are sitting beside a broken pieces of the cup and they started coming up together reform a cup and gently the cup traject itself back on toP of the table( Reverse of the first scenario).

Do you think the time taken for the cup to break down into several pieces will be equal to its reverse scenario?


What does it tell us about the energy?

Is there any possibility that their will be and interconnectedness of the two scenario where by a person can observe two events ?


Is scenario two even possible in real life situation? Why do you think so
 
Wanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua ni watu wenye maumbile makubwa sana kimwili, wenye nguvu sana, wenye akili sana, majasiri, wenye uthubutu, na sifa nyinginezo kedekede.
Swali langu la msingi ni kwamba, kwa huu umri wa Dunia unaosimuliwa na aina ya watu waliokwepo zamani, kwanini Civilization na technological advancement zimechelewa sana? Kwanini maisha ya zamani yalikua magumu sana, (only strongest survived) Kwanini maisha yamekua some how simplified kuanzia karne ya angalau ya 15 hapo?
Does it mean hao watu wa zamani walikua vilaza sana tofauti na historia zinavowapamba? Kama sio, kwanini hawakuwa na hiyo akili na uvumbuzi wa teknolijia ambayo ingepunguza ugumu wa maisha tokea miaka hiyo??

Kwa wale Watu wazima waliozaliwa miaka kati ya 1930 hadi 1970 ambao wako hai hadi leo, wanasema wameishi katika ulimwengu wa zaid ya aina 3 hapahapa duniani. Kwanini wanasema hivyo? Angalia gap la mabadiriko ya dunia kuanzia 2010 hadi sasa, Rudi nyuma Kidogo angalia mabadiriko ya dunia ya 2000 hadi 2010, kisha endelea kurudi nyuma kwa kuangalia dunia ya miaka chini ya 2000. Nadhani hapo utakua umepata picha kidogo ya swali langu. Dunia ya 2000 ni tofauti kabisa na dunia ya 2023.

Hiyo dunia ya zamani na watu wake wenye uwezo mkubwa walishindwa hata kutengeneza simu ili wawasiliane? Computer zimekuja mwishoni mwa karne ya 20 (miaka ya 1940-1950) kama sikosei, Simu pia zilianza miaka ya 1980s, magari na vyombo vingi vya moto vilianza kuanzia angalau karne ya 15 hapo. Unaambiwa watu walikua wanasafiri hata miezi kadhaa wako tu njiani. Sasa hizo akili na uwezo wao mkubwa ulikua wap?

Mwisho, mi naamini hii dunia ni ya Juzijuzi tu hapo. Naombeni mje na hoja za kusema hii dunia ina hiyo miaka mamilioni.
Mkuu Enzi za farao,simu zilikuwepo..Tena mobile na hata laptop...ndege pia zilikuwepo.
 
Yes ni makadirio yanayokaribia ukweli baada ya tafiti za kisayansi ,sio kuambiwa eti dunia ina miaka 6000 bila tafiti yoyote ,na kulazimika kuamini kwa hofu ya kuchomwa moto huko kwenye mawingu
Makadirio yanaweza kuwa sawa au yasiwe sawa au yanayokaribiana kuwa sawa na ukweli... haimaanishi kila kadirio ni sahihi au ni la kweli, linaweza kuwa si kweli vilevile.
 
There is a super power which is the beginning of every thing including the earth!
Hiyo super power iliwezaje kuwepo kutoka kwa kutokuwepo kitu?

Yani kwamba hiyo super power ilitokea tu, from nothing?

Kwa nini unadhani ulimwengu una chanzo na una amini hiyo Super Power ilitokea tu from nothing?

Unashindwaje kuamini pia Ulimwengu hauna chanzo?

Kama kila kitu lazima kiwe na mtengenezaji basi hata hiyo "Super Power" lazima iwe na mtengenezaji na watengenezaji endless, infinity hukooo ya watengenezaji.
 
tunaamini MUNGU kwa mara ya kwanza tangu kuubwa kwa ulimwengu alijifunua kupitia kwa Nabii wake Musa ili atuletee ujumbe huo kwenye Torati yenye vitabu 3.
Sasa hili swali sio la IMANI.
Hili ni swali la kisayansi
 
Mabaki ya denouser tu yanaonyesha waliishi miaka milioni 200 iliyopita,mabaki ya fuvu waliloamua kuliita zinja hapo arusha linaonyeaha aliishi miaka milioni 2 iliyopita ,mapango yale ya amboni cave ya tanga yakipimwa yanaonyesha yalikuwpo miaka milioni 30 iliyopita sasa wewe hivyo vimiaka 6000 iliyopita ambayo baadhi ya mavuvu ya mapharao ambayo yapo hadi leo yanaonyesha baadhi waliishi miaka hiyo 6000 iliyopita.walioandika hayo maandiko ya biblia kwmba dunia ina miaka 6000 tubaadhi yao walikua hawajielewi au shule ilikua ndogo au waliandika kwaajili ya watu wasikua na akili ya kufikiria
Nimeweka position ilivyo kwenye biblia sijachukua upande wowote Mkuu
 
Mm nadhani teknolojia inazidi kukua tangu mwaka wa kwanza duniani.
Kama ambavyo tunavowashangaa watu wa miaka ya nyuma na teknolojia yao, nao watu wa miaka ijayo pia watatushangaa.
Mfano, miaka kadhaa ijayo watu watashangaa hii teknolojia yetu ya 2023 jinsi ilivyo ya kiboya.
Watu wataanza kusafiri na kuishi popote pale bila kutegemea passport wala visa na wataanza kushangaa haya maisha yetu ya 2023 tunawezaje kutegemea passport na visa.
Watu watakuwa na intanet ya kasi zaidi ya sasa na kutushangaa tulikuwa tunawezaje kuvumilia kasi ya kobe ya 5G

N.K
 
Dunia Haina umri mazee vitu vingine anajua Mungu tu
Ajuaye umri exactly wa Dunia ni Mungu tu.
Nyie ndio mnaosababisha watu waendelee kumtukana huyo Mungu sababu mmejiwekea limitation ya kutumia akili badala yake mnatumia hisia.

Akili mlipewa na huyo Mungu muzitumie kufikiri mambo magumu na sio kumuachia yeye awasaidie kuwaza..dunia mlipewa muitawale na kutawala kwenyewe lazima utumie akili kujua kitu unachokitawala.

Acheni ujinga tumien akili msimuachie Mungu mambo yaliyo ktk uwezo wenu
 
Ndio nikawa najiuliza haya madubwasha yalikufakufaje maana yamepotea yote hata huku fuvu lake liligunduliwa moja
Ndege, kuku ni dinasour uje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ujue kuku na mamba wanafanana kuliko mamba na kenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kenge anafanana zaidi na nyoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila ukifuatilia dini watakuambia kula kuku ila usile mamba
 
Kumbe gharika sio maji Tena?
Halafu Nuhu si aliingiza viumbe wote kwenye safina?
Madudu hayo kipindi yapo mamalia waliokuwepo duniani walikua size ya panya au paka hata tembo au nyangumi hakuwepo duniani.

Actually mammals wamekuja shikilia dunia miaka mil 65 iliyopita


Je unajua majani ya savanna yalianza kuota lini?

Au maua yalianza kutokea lini?
 
Back
Top Bottom