Dunia ina Umri gani?

Dunia ina Umri gani?

naona umejaza matope kichwani.aliyekitengeneza kitu ndo anayejua kakitengeneza.hao ng'ombe wenzio wanachofanya ni kukisia tu.
We jinga kweli,yani ubongo wako ndipo ulipoishia hapo.kwahiyo wamejifungia chumbani wakaamua tu kukisia ,bila vipomo na utafiti Wowote wa kisayansi kufanyika.bara la afrika aliyeruoa kafa mijitu karibu yote mijinga
 
sio quran wala biblia vyote havijui umri wa dunia.sio malaika wala mitume wanaojua miaka ya dunia.mungu akuandika popote lini ameumba dunia.dunia iliumbwa tangu miaka haijaanza kuhesabiwa.sijui kama unaelewa
 
AMA KWELI SHETANI NI MUONGO SANA
Na bahati mbaya sana anawatumia watu tunaowaamini sana.

Tunawaamini sana Wana sayansi lakini wamejaa ushetani na uongo.

Wanatumiaka kurubuni watu kuwa Binadamu ametokama na Nyani munhu hayupo nk.

Dunia ni mpya mno ni mpya sana
1. Angalia vizazi vi 5 kutoka wewe angalia babu zako walivyoishi kwa ujima.
2. Angalia Miundombinu mipya simu, umeme, ndege , magari nk
3. Angalia sciance na technolojia.
4 Angalia na historia Kabla ya uhuru na Baada ya uhuru.

BIBLIA KITABJ CHENYE TAARIFA ZOTE KINASEMA DUNIA INA MIAKA 6000 TU
KIZAZI CHA ADAM HADI YESU NI MIAKA 4000+2000=6000
Mwenye swali anakaribishwa.
 
Kumewahi kuwepo dinosaurs duniani?
Waliishi nyakati gani za biblia?
Wanyama wa aina zote duniani waliingia katika safina ya Nuhu?
 
Back
Top Bottom