Mkuu ni kigezo gani ulichokitumia kuwaita watu weusi ni watu wasio na akili.
Katika reference zako umeiweka nigeria ukiicompare na german.
Hivi Katika maandiko matakatifu si ndio tumeambiwa tumeletwa duniani ili tuzaliane.
Hivi unahisi adam angekuwa na mentality kama yako wewe ungekuwepo leo hii.
Sawa umeudhihirishia umma kwamba jamij yako ni ya watu wasio na akili na ndio wanaooongoza kwa kuzaliana.
Hivi unafamu Mitume walitumwa kwenye ardhi za watu wakorofi na walioshindikana.
Hivyo hata kwenye jamii yako ya wasio na akili ipo siku watu wenye akili wakapatikanapo na wakafanya makubwa katika ulimwengu huu.
According to my view, ungesema jamii illiteracy rate kubwa ningekuelewa lakini kusema kuna watu wasio na akili.
Hapo akili yangu imegoma kukuelewa.
Hakuna mtu asiyekuwa na akili.
Ila tofauti ipo katika uwezo wa kujifunza na nyenzo wezeshi za kujifunzia.
Wenzetu unaowatukuza kwamba wana akili ni unawaona hivyo sababu ya nyenzo zao za kujifunzia ni wezeshi lakini pia mazingira.
Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile
Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?
View attachment 2845588
View attachment 2844266