Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Lakini mnatawaliwa na hao wasioweza kuzaliana.... kuzaliana hata nyumbu wanazalishana sana ila wanatawaliwa na simba wachache, so sio kipimo cha akili wala supremacy
Nani anamtawala nani?
UK penyewe wanamtawala miongoni mwao,sasa wewe ulitaka iweje kwamba wao hakuna wanachotegemea kutoka kwetu?
 
Hi

Hiyo akili ndogo umeitoa wapi wakati yy kasema wasiokuwa na akili?
Akili ya watu unaingalia Kwa vitu watu wanavyovifanya. Cycle ya umaskin katika jamii zetu za kiafrika inachangiwa sehemu kubwa na kuzaliana Kwa wingi wetu. Hilo liko wazi. Idadi ya watoto wanaozaliwa haiendani na vipato vyetu. Waafrika wanaamini kuzaa watoto wengi ndo utajiri. Maskin ndo huzaa watoto wengi kubali kataa. Kuzaa paspo mpangilio jamii hiyo kwanza Haina elimu. Kauli mbiu Yao ni kuzaa Hadi watoto waishe tumbon bila kujua watoto waishije Kwa kuwa na msemo unaosema Kila Mtoto huja na bahati yake
 
Unamzungumziaje mjomba wangu ambaye hakubahatika kuwa na mtot hata mmoja lkn bado alikuwa masikini wa kutupwa?
 
F
Basi kumbe huna ujualo
Tumia akili yako vizuri utabadili hali ya uchumi wa nyumbani kwenu bila kuwaingiza wengine kwenye mambo ya ajabu uluiyojiingiza wewe kwa visingizio visivyokuwa vya msingi bila ya kufahamu sababu mama iliyowafanya hao mashoga kuamua kuingia kwenye ushoga na bila kujua sababu mama iliyowafanya wakushawishi wewe kujiunga nao na sasa unatulazimisha nasi tutumiao akili zetu vizuri eti tuwaige,hatutaki.

Kuna watu katikati ya hao unaosema hawana akili ni matajiri sasa kwakuwa wewe huwezi kutumia vizuri akili zako unaita eti ni kukosa akili,kuna mtu asiyekuwa na akili kweli au ni matumizi yasiyokuwa sahihi ya akili zao?
 
Ushoga ushoga ushoga, wewe ushawahi kutiwa na shoga nini? Maana majadiliano unajaribu sana kuyapeleka kwenye ushoga

Nakuuliza nchi nyingi za Afrika mbona zinasema haziendelei sababu ya ukoloni na ubeberu, unasema hujawahi kusikia... unaanza tena na ushoga
 

Yaani wewe unataka nikubali dosari unazotupachika ila hutaki kukubali dosari mlizonazo ninyi wazungu,huo ni ulemavu wakufikiri ulionao.
 
, wenye akili wamevumbua teknolojia za kuisadia dunia na kurahisha maisha

Laana zinawasumbua
 
Wewe bumunda si ndio ninachokisema hapa?
Mataifa kama Korea na China, Japan n.k hawazaliani tena, huku mabumunda kama wewe mnazaliana kama utitiri
Bumunda ni kwumer amekunyamba kumbafu
 
Mkuu ni kigezo gani ulichokitumia kuwaita watu weusi ni watu wasio na akili.
Katika reference zako umeiweka nigeria ukiicompare na german.

Hivi Katika maandiko matakatifu si ndio tumeambiwa tumeletwa duniani ili tuzaliane.
Hivi unahisi adam angekuwa na mentality kama yako wewe ungekuwepo leo hii.

Sawa umeudhihirishia umma kwamba jamij yako ni ya watu wasio na akili na ndio wanaooongoza kwa kuzaliana.
Hivi unafamu Mitume walitumwa kwenye ardhi za watu wakorofi na walioshindikana.
Hivyo hata kwenye jamii yako ya wasio na akili ipo siku watu wenye akili wakapatikanapo na wakafanya makubwa katika ulimwengu huu.

According to my view, ungesema jamii illiteracy rate kubwa ningekuelewa lakini kusema kuna watu wasio na akili.
Hapo akili yangu imegoma kukuelewa.
Hakuna mtu asiyekuwa na akili.
Ila tofauti ipo katika uwezo wa kujifunza na nyenzo wezeshi za kujifunzia.
Wenzetu unaowatukuza kwamba wana akili ni unawaona hivyo sababu ya nyenzo zao za kujifunzia ni wezeshi lakini pia mazingira.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…