Dunia Inaenda Kasi, Magic Johnson (Mcheza Kikapu) akiwa amemshika kijana wake wa Kiume

Dunia Inaenda Kasi, Magic Johnson (Mcheza Kikapu) akiwa amemshika kijana wake wa Kiume

Ama laana imeshatawala duniani, sura ngumu kama miaka 50, yaani tujichunge sana kizazi kijacho la sivyo hawa jamaa poteza watu wengi sana.
 
😂😂😂😂😂nimecheka na hiyo pic..ila wazazi mashallah...ingawa mtoto wake ni mwendo lakini bado kwake Ni son..😊
 
Kamshika kimahaba kijana wake.
Huwezi mshika mtoto wako wa kiume hivyo
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ndo diplomasia hyo wanayoitaka wazungu.
 
Huo ndio upendo wa kweli.
Zamani nilisema mwanangu akiwa shoga namtimua home within 3 minutes, akiikana dini yangu namtimua home within 1 minute.
Sasa nimekuwa baba najua uchungu na raha ya mtoto.
Kama Mungu muumba angekuwa na upendo ambao ninao kwa mwanangu hakika watu wote wasingepata dhiki huku akijitapa kuwa kajaa utajiri.
 
Machk wengi mitaani,madukani,kwenye media,
Etc

Ova
 
Wakuu Magic Johson mcheza kikapu mstaafu mwenye Suti amemshika Kijana wake wa kiume (ambaye ni Shoga) anamtakia birthday wishes.

Hii dunia tulipo Mungu kapoteza kiberiti, angeshaiwasha Kabisa.

View attachment 2250868
Picha ina ukakasi mwingi, possibly ikawa anakula mazao yake mwenyewe.
Mkumbatio wa haja kiunoni, 'son' anausikilizia mkono ulivyobambia kiuno.
Miaka hiyo Magic Johnson akiwa MVP ameshawahi kuhusishwa na kashfa hizo za ushogo japo alizikanusha, ziliibuka baada ya kukutwa ni HIV positive back then kabla hata dawa zinazowawezesha kuishi kwa matumaini hazijakuwepo.
 
Mzee let it be, Hao wenzetu hayo mambo wameyaanza muda sana wayback sisi kwa sasa yapo sirini ndo mana yanakuwa ya ajabu kuyasikia but doesn't mean hafanyiki, Halafu what's i wrong with you for a mutured man to be like that? Ni maisha yake amejichagulia
 
Back
Top Bottom