Dunia Inaenda Kasi, Magic Johnson (Mcheza Kikapu) akiwa amemshika kijana wake wa Kiume

Dunia Inaenda Kasi, Magic Johnson (Mcheza Kikapu) akiwa amemshika kijana wake wa Kiume

Son!! How[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Kamshika kimahaba kijana wake.
Huwezi mshika mtoto wako wa kiume hivyo
Ndio nashangaa, kama ni son kwa nini anamshika kama binti ?

Anyhow, yeye mwenyewe hana moral authority ya kukemea ukahaba. Akiwa mchezaji, kabla hajapata ukimwi walikuwa na tabia ya ku "run trains on the cheerleaders during half time."
 
Magic ana VVU muda mrefu sana tangu yupo Lakers
 
Daa pole yake
Halafu juzi juzi pia nikamuona David Banda yule mtoto alielelewa na Madonna toka Malawi sijui nae ana tatizo hilo pia
IMG_6852.jpg
 
Kinacho nishangaza ni kwa nini wazungu wanataka watu wasio shiriki huo ushetani waunge mkono kwa lazima ?🤔🤔🤔
 
Dunia imechoka mno!
Choka mbaya....halafu sio fair kabisa, wanaume ni wachache kuliko wanawake, katika uchache huo bado wanapungua wengine tena na kuwa machoko.

Kwa hali hii inabidi wanawake waandamane kudai haki yao.
 
Back
Top Bottom