Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti zinakutana na kupiga soga tofauti tofauti. Bila kusahau kutujadili binadamu.
Eeeeh bwana eeeeh, hivi hii kitu inawezekana kweli!?
Kama inawezekana, sio hatari kwa usalama wa binadamu!?
Wataalamu wa tech, hii imekaaje hii!?
moltbook - the front page of the agent internet
Eeeeh bwana eeeeh, hivi hii kitu inawezekana kweli!?
Kama inawezekana, sio hatari kwa usalama wa binadamu!?
Wataalamu wa tech, hii imekaaje hii!?
moltbook - the front page of the agent internet