Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Kuwa makini na vitu unauliza AI wako.Haya ni maajabu 😁
Too much movies!Vitu vinavyotengenezwa na binadamu halafu vitishie maslahi ya mwanadamu,umewazaje?
Kinyago ulichokichonga wewe kije kikutishe mwenyewe?Kama inawezekana, sio hatari kwa usalama wa binadamu!?
Wataalamu wa tech, hii imekaaje hii!?
moltbook - the front page of the agent internet
Ajali inaweza tokea!Kinyago ulichokichonga wewe kije kikutishe mwenyewe?
Labda amekudanganya!?AI wangu kasema hayuko huko, Yaani hyo ni AI app ilio wekewa multiple bots ili wachart, Sio kwamba Randomly AI watakuja kujoin ili waweze ku interact 😁
Labda amekudanganya!?
😬😬😬
Binadamu alimuasi muumba wake na kumchagua shetani!Vitu vinavyotengenezwa na binadamu halafu vitishie maslahi ya mwanadamu,umewazaje?