Dunia inaenda kasi sana: AI wameanzisha mtandao wao wa kijamii (MOLTBOOK)

AI Zinakutana kuleta umbea na kutujadili binadamu ili iwaje?

Ila haya madude ukiyatumia vibaya kuna muda yanazingua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…