Dunia inaenda kasi sana kipindi cha Kiti Moto kikirejea kitakosa watazamaji nchini

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Tangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi.
Kitimoto na Ze comedy Show.

Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha sebuleni. Kizazi cha kipindi kile kilipenda serious issues japo tamthilia za Kaole nazo zilituburudisha.

Niko tayari kubet ila kile kipindi kikirudi leo hakuna atakayekiangalia,watu wanataka kuangalia ujinga ujinga tu.
 
Pale pia palikuwa na abdalah majura, adamu lusekelo, nakumbuka mrema wa nccra mageuzi aliwahi kukalia kiti moto. Wale watangazaji walikuwa na maswali motomoto odemba wa medani za siasa akasome kwa hao watangazaji. Malumbano ya hoja na dakika 45 hivi ni vipindi vinavyotaka kufanana na kipindi cha kiti moto ila vina maswali malaini mhojiwa anajibu kwa ulaini habanwi sana mpaka jasho limtoke
 
Uko sahihi mkuu,kile kilikuwa kitimoto aswaa
 
Upeo wa watu umeshuka sana kiasi cha kutoweza hata kuelewa kinachojadiliwa kwenye kitimoto.

Uwezo wa ku concentrate na kudadavua mambo umeshuka mno.

Tunaishi na kizazi cha retards na zombie.
 
Tangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi.
Kitimoto na Ze comedy Show.

Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha sebuleni. Kizazi cha kipindi kile kilipenda serious issues japo tamthilia za Kaole nazo zilituburudisha.

Niko tayari kubet ila kile kipindi kikirudi leo hakuna atakayekiangalia,watu wanataka kuangalia ujinga ujinga tu.
Nakubali kaka Paskali na panki lake nywele nyingi hivi plus mustachi wenye afya kavaa kadeti kachomekea shati safi mikono imekunjwa nusu, saa ya bei mkononi, energy ya kutosha.
 
Tangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi.
Kitimoto na Ze comedy Show.

Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha sebuleni. Kizazi cha kipindi kile kilipenda serious issues japo tamthilia za Kaole nazo zilituburudisha.

Niko tayari kubet ila kile kipindi kikirudi leo hakuna atakayekiangalia,watu wanataka kuangalia ujinga ujinga tu.
Pascal Mayalla alizingua mwenyewe alipoanza kujipendekeza , kuja kushtuka kakosa credibility serikalini na kwa WANANCHI
 
Back
Top Bottom