Dunia inaenda kasi sana kipindi cha Kiti Moto kikirejea kitakosa watazamaji nchini

Wako watakaoangalia, ndio maana kwenye tv Kuna vipindi vya michezo, tamthiliya, muziki, siasa vinawekwa kwenye tv.
Bado tunahitaji vipindi Kama hivyo.
 
Kadiri miaka inavyo kwenda ndio kizazi chetu kinaongezeka WAJINGA, usemacho mleta uzi uko sahihi sana, nakumbuka wakati anamaliza kipindi chake, Pascal Mayalla utasikia, "Kutoka hapa (anataja jina la ukumbi) mimi ni Pascal Mayalla, wa Kitimoto"
Nazikumbuka interviews 2, ile walimualika askofu Zakariah Kakobe na Augostine Lyatonga Mrema; halafu kuna kingine alialikwaga nadhani Lukuvi na wakamswalika maswali ya kuhusu ATC na ukodishwaji wa ndege. Maisha marefu sana kaka Pascal though now days, wadau hatukusomi
 
Tangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi.
Kitimoto na Ze comedy Show.

Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha sebuleni. Kizazi cha kipindi kile kilipenda serious issues japo tamthilia za Kaole nazo zilituburudisha.

Niko tayari kubet ila kile kipindi kikirudi leo hakuna atakayekiangalia,watu wanataka kuangalia ujinga ujinga tu.
Unamzungumzia Pasco huyu huyu mwenyekiti wa JamiiForums au Paskali mwingine?
 
Kadiri miaka inavyo kwenda ndio kizazi chetu kinaongezeka WAJINGA, usemacho mleta uzi uko sahihi sana, nakumbuka wakati anamaliza kipindi chake, Pascal Mayalla utasikia, "Kutoka hapa (anataja jina la ukumbi) mimi ni Pascal Mayalla, wa Kitimoto"
Nazikumbuka interviews 2, ile walimualika askofu Zakariah Kakobe na Augostine Lyatonga Mrema; halafu kuna kingine alialikwaga nadhani Lukuvi na wakamswalika maswali ya kuhusu ATC na ukodishwaji wa ndege. Maisha marefu sana kaka Pascal though now days, wadau hatukusomi
Tumpe sifa zake angali hai,kipindi alikitendea haki
 
Jamaa alikua mtu na nusu; baadae wakaja kina Ranfred Masako, pale Ch 10 nako kulikua sio haba; nowadays ni mpira, mapenzi na music. Hakuna critical thinkers kabisa. Kaka Pascal Mayalla hata kwenye michezo hakua haba, but walikua wanajadiri vitu vizito. Siku 1 akiwa CTN yeye na mwenzake 1 namsahau jina, walimualikaga Azim Dewji, moja kati ya maswali walimchapa Azim ni kuhusu kombe la Mashoud Abiola ambalo Simba walitolewa na Stella Atour; kwamba Azim na wenzake waliuza match ili wasigawe magari ya KIA walio waahidi wachezaji kina Mohammed Mwameja, Azim ni kama alipaniki hivi, akataja taja sifa, Pascal akamwambia, "we sio wa kwanza kugawa magari kwa wachezeji, kuna Cameroon huko"
Sema pascal sasa hivi hasomeki kiviiile kama zamani.
 
Naikumbuka hiyo mechi,simba waliahidiwa KIA wakakomaa,wakaja kufungwa nyumbani,tetesi mitaani Dewji kauza mechi ili aipate hasara ya magari.
Hapo ukipigwa hilo swali lazima ushangae
 
Mi nadhani nimekuzidi umri... Huyu Mayala nakumbuka alitangaza Channel ten kama kumbukumbu zipo sawa... Ila huyu wa JF nadhani ni wa PPRAπŸ˜€πŸ˜€.. Kama ni yeye yeye basi dunia inaspidi sana...
Mtu mmoja nafsi mbili ili watoto waende shule
 
Back
Top Bottom