Uko sahihi mkuu,kile kilikuwa kitimoto aswaaPale pia palikuwa na abdalah majura, adamu lusekelo, nakumbuka mrema wa nccra mageuzi aliwahi kukalia kiti moto. Wale watangazaji walikuwa na maswali motomoto odemba wa medani za siasa akasome kwa hao watangazaji. Malumbano ya hoja na dakika 45 hivi ni vipindi vinavyotaka kufanana na kipindi cha kiti moto ila vina maswali malaini mhojiwa anajibu kwa ulaini habanwi sana mpaka jasho limtoke
kashachonga na mzinga kabisaHivi Pascal Mayalla hajalambishwa asali?
Shilawadu?Kitimoto na Ze comedy Show.
kizazi kilichozalisha kina B-levo,Mwijaku na Dotto Magari.Upeo wa watu umeshuka sana kiasi cha kutoweza hata kuelewa kinachojadiliwa kwenye kitimoto.
Uwezo wa ku concentrate na kudadavua mambo umeshuka mno.
Tunaishi na kizazi cha retards na zombie.
Nakubali kaka Paskali na panki lake nywele nyingi hivi plus mustachi wenye afya kavaa kadeti kachomekea shati safi mikono imekunjwa nusu, saa ya bei mkononi, energy ya kutosha.Tangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi.
Kitimoto na Ze comedy Show.
Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha sebuleni. Kizazi cha kipindi kile kilipenda serious issues japo tamthilia za Kaole nazo zilituburudisha.
Niko tayari kubet ila kile kipindi kikirudi leo hakuna atakayekiangalia,watu wanataka kuangalia ujinga ujinga tu.
Pascal Mayalla yakweli hayaNakubali kaka Paskali na panki lake nywele nyingi hivi plus mustachi wenye afya kavaa kadeti kachomekea shati safi mikono imekunjwa nusu saa ya bei mkononi energy ya kutosha.
Mara10 useme sunset beach lakini si shilawaduShilawadu?
zile mara & clara za star tv?
Pascal Mayalla alizingua mwenyewe alipoanza kujipendekeza , kuja kushtuka kakosa credibility serikalini na kwa WANANCHITangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi.
Kitimoto na Ze comedy Show.
Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha sebuleni. Kizazi cha kipindi kile kilipenda serious issues japo tamthilia za Kaole nazo zilituburudisha.
Niko tayari kubet ila kile kipindi kikirudi leo hakuna atakayekiangalia,watu wanataka kuangalia ujinga ujinga tu.
Inasikitisha sana.Baadae Pasco wakamgeuza Mrisho Mpoto
Paskali yule akikutana na huyu watapigana mnoooo..... Maana hawatoelewana....Pascal Mayalla yakweli haya
Asali ina historia ya muda mrefu kama ilivyo historia ya nyukiPaskali yule akikutana na huyu watapigana mnoooo..... Maana hawatoelewana....