cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers
This is great elaborationUsihangaike nae kuna nadharia inaitwa Diffusion of Innovation Theory . Huyo jamaa yupo kundi la Laggards so usishangae.
Nadharia ya Uenezaji wa Ubunifu (Diffusion of Innovation Theory) ilianzishwa na Everett Rogers mwaka 1962. Inahusu jinsi mawazo mapya, teknolojia, au bidhaa zinavyosambaa miongoni mwa watu au jamii kwa kuzingatia muda na wakti.
Nadharia hii inaeleza kuwa watu hupokea na kutumia ubunifu kwa viwango tofauti kulingana na vikundi vifuatavyo:
Nadharia hii inaonesha tabia za walaji I.e. Consumer behaviour. Katika hayo makundi kundi la 3 & 4 ndo yana watu sana na nadharia hii inaweza kumfaa yeyote ktk biashara kubainisha tabia za walaji wa bidhaa na au huduma anazotoa
- Innovators (Wabunifu): Watu wa kwanza kujaribu ubunifu kwa kuwa wao ndio waliovumbua. Ukivumbua kitu wewe ndo unaanza kuwa mtumiaji wa kwanza na familia yako, kwa hiyo unakuwa ktk kundi hili.
- Early Adopters (Watumiaji wa Mapema): Hawa wanafuata mara baada ya wabunifu wa awali kuanza kutumia bidhaa husika. Kundi hili huchukua hatari ndogo (risks) kwa kuwa athari zozote za bidhaa au huduma wao huwa wahanga au wanufaika. Kimsingi hili ndio KUNDI LA WAJANJA WA MJINI.
- Early Majority (Watumiaji Kadamnasi ya Kwanza): Wanapokea ubunifu baada ya muda mfupi, wakisubiri maoni ya wengine hasa wale early Adopters. Kundi ndo wale wa "umetumia Google Pixel? Vipi inatoa picha nzuri nasikia!!" baada ya udadisi ndo atanunua sasa. Kwa maoni yangu wabongo wengi wapo kundi hili ndo maana Toyota Crown na Dualis na Forester zimejaa kitaa. Kuigana.
- Late Majority (Watumiaji Kadamnasi ya Mwisho): Wanapokea baada ya ubunifu kuthibitishwa kuwa salama na hauna madhara kabisa. Ili watumie hiyo bidhaa inahitajika nguvu kubwa sana kuwashawishi. Halafu sasa kuna hawa;
- Laggards (Wachelewaji): Wanakubali ubunifu kwa kusitasita baada ya muda mrefu au wanaweza wasikubali kabisa. Hawa ndo wale mpaka leo hawaamini katika smartphone bado wapo na simu za 2G. Au wale wa auto ni gari la kike bado wanaendesha vintage.
That is how it is . Sasa nchi hiz mtu ukienda ndani ya Bank means unaishu. Kutoa hela ni kupitia digital tu na makato ni affordableKuna nchi wameacha kamoja au viwili kwa wale wamepata tatizo kadi hauna, wazee, badili pesa ngeni n.k.
Na unachajiwa huduma hiyo yote watu waelekee huko mtandaoni
CCM wameleta mitaala mipya, watoto wenu sasa watasomea ufugaji wa nyuki.🤣🤣🤣🤣
Endeleeni kupeleka watoto shule njia zilezile mlizopita nyie. Mmeshaanza kulia hakuna ajira
Next 20 years itakuwa balaaa
Hata sasa hivi AI inalipa sana, na kadri mda unaenda itazidi kulipa. Sema kama nchi tupo nyumaItalipa sana in the long run
Watu wanaoendesha au kuanzisha biashara hii ni nadharia muhimu sana wanapaswa kuielewa.This is great elaboration
Mpaka yatokee wote waliomo jf watakua deadly bodyDunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.
Hata kwa upande wa Afya tujiandae.
Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc
In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?
Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.
Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.
Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc
Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?
Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.
With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.
Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,
tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.
Take care
Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Shule IST na za dizain hiyo wanatoa hiyo mitaalaKitu ambacho huwa najiuliza hadi sasa sisi kama nchi bado hatujawa tayari kukabiliana na haya mabadiliko.
Sijajua serikali inashindwaje hata kubadili hii mitaala ya elimu kuanzia huku chini kabisa ili vijana waweze kuendana na haya mabadiliko.
Natamani hizi programming language zingeanza kusomwa kihatua kama vile ilivyo mathematics, kwamba primary, tulisoma hesabu, olevel tukaita basics then advance tukaita pure mathematics na chuo tukaita engineering mathematics.
Language kama python endapo gov ingeamua kuitengenezea syllabus nzuri nadhani ingeweza kujigawa katika mtindo wa namna hiyo... Imagine mtu wa software anaenda kuandika line yake ya kwanza ya code akiwa chuo kikuu na hapo utakuta hata HTML tu haijui 😅😅😅.
Ni heri tutengeneze watu wengi wenye uwezo mzuri kwenye technology kwa maana ni rahisi kujiajiri huko, kuliko kutengeneza watu wengi wenye uwezo mzuri wa kufundisha History au Geography, unakutana na mtu anaanza kukupa uchambuzi wa mto Mississippi wakati hajawahi kuuona hata kwa macho, inasaidia nini?
Anyway, wacha inyeshe tuone panapovuja, but pia wazazi ni wakati wa kubadili mindsets zenu, usipeleke mtoto shule ili aje apate pesa alusaidie peleka mtoto shule apate elimu ambayo itamfanya awe exposed na mambo mbalimbali ya ulimwengu na fedha iwe ni matokeo ya mwisho kabisa.
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.
Hata kwa upande wa Afya tujiandae.
Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc
In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?
Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.
Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.
Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc
Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?
Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.
With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.
Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,
tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.
Take care
Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Dada..Duh aiseee
Umeandika point kubwa sana kitaalamu. Pata glass moja ya gongo kwa gharama zako. Kiukweli hii mtu mzima kwenda kuanza kuandika codes akiwa chuo kikuu ni kitu cha kusikitisha sana. Jitu limeshaonja papuchi za kutosha hawezi kuwa na utulivu wa kuandika codes vizuri. Hizi language wangeanzia hata darasa la 3 kufundisha. Somo kama HISTORY lingekuwa tu kama Civics kwa sababu halina maana yoyote mtaani. Mbaya zaidi historia yenyewe inafundishwa mambo machache sana. Mengi yanafichwa.Kitu ambacho huwa najiuliza hadi sasa sisi kama nchi bado hatujawa tayari kukabiliana na haya mabadiliko.
Sijajua serikali inashindwaje hata kubadili hii mitaala ya elimu kuanzia huku chini kabisa ili vijana waweze kuendana na haya mabadiliko.
Natamani hizi programming language zingeanza kusomwa kihatua kama vile ilivyo mathematics, kwamba primary, tulisoma hesabu, olevel tukaita basics then advance tukaita pure mathematics na chuo tukaita engineering mathematics.
Language kama python endapo gov ingeamua kuitengenezea syllabus nzuri nadhani ingeweza kujigawa katika mtindo wa namna hiyo... Imagine mtu wa software anaenda kuandika line yake ya kwanza ya code akiwa chuo kikuu na hapo utakuta hata HTML tu haijui 😅😅😅.
Ni heri tutengeneze watu wengi wenye uwezo mzuri kwenye technology kwa maana ni rahisi kujiajiri huko, kuliko kutengeneza watu wengi wenye uwezo mzuri wa kufundisha History au Geography, unakutana na mtu anaanza kukupa uchambuzi wa mto Mississippi wakati hajawahi kuuona hata kwa macho, inasaidia nini?
Anyway, wacha inyeshe tuone panapovuja, but pia wazazi ni wakati wa kubadili mindsets zenu, usipeleke mtoto shule ili aje apate pesa alusaidie peleka mtoto shule apate elimu ambayo itamfanya awe exposed na mambo mbalimbali ya ulimwengu na fedha iwe ni matokeo ya mwisho kabisa.
😂😂😂😂... Ndio hivyo mkuu, watu wanapata tabu sana katika kutengeneza logics za kiprogramia kwasababu wamechelewa kujifunza na hapo hapo wanakariri ili wasipate sup tuPata glass moja ya gongo kwa gharama zako.
Dada..
kwa matumizi ya hii komenti 'Duh aisee'
Umefikisha komenti 280,341 na msisimko wa kupenda komenti zako kuwa Millioni 1,133,358..
Nimekuombea wakupe hadhi mpya ya 'Super Platinum Member'
cc Maxence Melo
Sio kwa Africa labda Ulaya na MarekaniDunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.
Hata kwa upande wa Afya tujiandae.
Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc
In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?
Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.
Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.
Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc
Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?
Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.
With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.
Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,
tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.
Take care
Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Bank tellers kwa bongo bado wanasoko hawataisha Leo mkuuDunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Endeleen kusifia anaupiga mwingiUmeandika point kubwa sana kitaalamu. Pata glass moja ya gongo kwa gharama zako. Kiukweli hii mtu mzima kwenda kuanza kuandika codes akiwa chuo kikuu ni kitu cha kusikitisha sana. Jitu limeshaonja papuchi za kutosha hawezi kuwa na utulivu wa kuandika codes vizuri. Hizi language wangeanzia hata darasa la 3 kufundisha. Somo kama HISTORY lingekuwa tu kama Civics kwa sababu halina maana yoyote mtaani. Mbaya zaidi historia yenyewe inafundishwa mambo machache sana. Mengi yanafichwa.