Dunia inaenda kasi, shaurini watoto wenu nini cha kusomea. Kuna baadhi ya kazi zinakwenda kupotea mazima

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers

Kuna nchi wameacha kamoja au viwili kwa wale wamepata tatizo kadi hauna, wazee, badili pesa ngeni n.k.

Na unachajiwa huduma hiyo yote watu waelekee huko mtandaoni
 
Usihangaike nae kuna nadharia inaitwa Diffusion of Innovation Theory . Huyo jamaa yupo kundi la Laggards so usishangae.

Nadharia ya Uenezaji wa Ubunifu (Diffusion of Innovation Theory) ilianzishwa na Everett Rogers mwaka 1962. Inahusu jinsi mawazo mapya, teknolojia, au bidhaa zinavyosambaa miongoni mwa watu au jamii kwa kuzingatia muda na wakti.

Nadharia hii inaeleza kuwa watu hupokea na kutumia ubunifu kwa viwango tofauti kulingana na vikundi vifuatavyo:
  1. Innovators (Wabunifu): Watu wa kwanza kujaribu ubunifu kwa kuwa wao ndio waliovumbua. Ukivumbua kitu wewe ndo unaanza kuwa mtumiaji wa kwanza na familia yako, kwa hiyo unakuwa ktk kundi hili.
  2. Early Adopters (Watumiaji wa Mapema): Hawa wanafuata mara baada ya wabunifu wa awali kuanza kutumia bidhaa husika. Kundi hili huchukua hatari ndogo (risks) kwa kuwa athari zozote za bidhaa au huduma wao huwa wahanga au wanufaika. Kimsingi hili ndio KUNDI LA WAJANJA WA MJINI.
  3. Early Majority (Watumiaji Kadamnasi ya Kwanza): Wanapokea ubunifu baada ya muda mfupi, wakisubiri maoni ya wengine hasa wale early Adopters. Kundi ndo wale wa "umetumia Google Pixel? Vipi inatoa picha nzuri nasikia!!" baada ya udadisi ndo atanunua sasa. Kwa maoni yangu wabongo wengi wapo kundi hili ndo maana Toyota Crown na Dualis na Forester zimejaa kitaa. Kuigana.
  4. Late Majority (Watumiaji Kadamnasi ya Mwisho): Wanapokea baada ya ubunifu kuthibitishwa kuwa salama na hauna madhara kabisa. Ili watumie hiyo bidhaa inahitajika nguvu kubwa sana kuwashawishi. Halafu sasa kuna hawa;
  5. Laggards (Wachelewaji): Wanakubali ubunifu kwa kusitasita baada ya muda mrefu au wanaweza wasikubali kabisa. Hawa ndo wale mpaka leo hawaamini katika smartphone bado wapo na simu za 2G. Au wale wa auto ni gari la kike bado wanaendesha vintage.
Nadharia hii inaonesha tabia za walaji I.e. Consumer behaviour. Katika hayo makundi kundi la 3 & 4 ndo yana watu sana na nadharia hii inaweza kumfaa yeyote ktk biashara kubainisha tabia za walaji wa bidhaa na au huduma anazotoa
This is great elaboration
 
Kuna nchi wameacha kamoja au viwili kwa wale wamepata tatizo kadi hauna, wazee, badili pesa ngeni n.k.

Na unachajiwa huduma hiyo yote watu waelekee huko mtandaoni
That is how it is . Sasa nchi hiz mtu ukienda ndani ya Bank means unaishu. Kutoa hela ni kupitia digital tu na makato ni affordable

Sasa sisi laggards tunaenda backwards… watu wanakimbia digital money kwa sababu transaction cost ni nyingi. Kutoq 2M kwenye CRDB kupeleka Mpesa ni balaaa kwahiyo tunaenda backwards

Nairobi hadi Bolt unalipia online…. People don’t carry cash . Watu wnaalipia digitally with minimal transaction cost .

Yaani TZ tupo nyuma 50 years back

Unakuta mtu anaenda bank kutoa 50M . Pesa zenyewe zinaonkqnq lundo kumbe ni just dola 18,000 tu

Cash kama hizo unapeleka wapi ambapo hakuna malipo online kama sio risk tu upigwe shaba ufe
 
🤣🤣🤣🤣

Endeleeni kupeleka watoto shule njia zilezile mlizopita nyie. Mmeshaanza kulia hakuna ajira

Next 20 years itakuwa balaaa
CCM wameleta mitaala mipya, watoto wenu sasa watasomea ufugaji wa nyuki.
 
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Hata kwa upande wa Afya tujiandae.

Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?

Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.

Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.

Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc

Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?

Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.

With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.

Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,

tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.

Take care

Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Mpaka yatokee wote waliomo jf watakua deadly body
 
Kitu ambacho huwa najiuliza hadi sasa sisi kama nchi bado hatujawa tayari kukabiliana na haya mabadiliko.

Sijajua serikali inashindwaje hata kubadili hii mitaala ya elimu kuanzia huku chini kabisa ili vijana waweze kuendana na haya mabadiliko.

Natamani hizi programming language zingeanza kusomwa kihatua kama vile ilivyo mathematics, kwamba primary, tulisoma hesabu, olevel tukaita basics then advance tukaita pure mathematics na chuo tukaita engineering mathematics.

Language kama python endapo gov ingeamua kuitengenezea syllabus nzuri nadhani ingeweza kujigawa katika mtindo wa namna hiyo... Imagine mtu wa software anaenda kuandika line yake ya kwanza ya code akiwa chuo kikuu na hapo utakuta hata HTML tu haijui 😅😅😅.

Ni heri tutengeneze watu wengi wenye uwezo mzuri kwenye technology kwa maana ni rahisi kujiajiri huko, kuliko kutengeneza watu wengi wenye uwezo mzuri wa kufundisha History au Geography, unakutana na mtu anaanza kukupa uchambuzi wa mto Mississippi wakati hajawahi kuuona hata kwa macho, inasaidia nini?

Anyway, wacha inyeshe tuone panapovuja, but pia wazazi ni wakati wa kubadili mindsets zenu, usipeleke mtoto shule ili aje apate pesa alusaidie peleka mtoto shule apate elimu ambayo itamfanya awe exposed na mambo mbalimbali ya ulimwengu na fedha iwe ni matokeo ya mwisho kabisa.
Shule IST na za dizain hiyo wanatoa hiyo mitaala

Hayo ma computer language kama python ni part if curriculum
Kuna hizo java, Power PI, Tableau na mavitu yote ya hivo

In fact data science and visualisation ni part of it
 
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Hata kwa upande wa Afya tujiandae.

Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?

Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.

Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.

Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc

Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?

Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.

With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.

Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,

tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.

Take care

Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada

ukiacha South Africa na Nigeria, nchi nyingi za Africa, serikali bado zinajivuta mno kwenye technology. Wananchi wengi pia bado hawajajua kuwa technology itawaumiza ndani ya miaka 5-10 ijayo.

Balaa laja
 
Hata ndege baada ya kuja mfumo wa Auto-pilot. Marubani wengi walikuwa wapoteze kazi.

Lakini baada ya watafiti kukaa chini na kutafakari wakaona kwamba hakuna abiria atakubali kupanda chombo kinacho jiendea chenyewe pasipo uwepo wa binadamu.

Hivyo wataalamu wakashauri, Marubani waendelee kuwepo tu kwenye Cockpit ku Monitor mfumo.

Kazi yao kubwa sanasana ni kutake-off na ku land, Pia kufanya communications na ground personells.
 
Kitu ambacho huwa najiuliza hadi sasa sisi kama nchi bado hatujawa tayari kukabiliana na haya mabadiliko.

Sijajua serikali inashindwaje hata kubadili hii mitaala ya elimu kuanzia huku chini kabisa ili vijana waweze kuendana na haya mabadiliko.

Natamani hizi programming language zingeanza kusomwa kihatua kama vile ilivyo mathematics, kwamba primary, tulisoma hesabu, olevel tukaita basics then advance tukaita pure mathematics na chuo tukaita engineering mathematics.

Language kama python endapo gov ingeamua kuitengenezea syllabus nzuri nadhani ingeweza kujigawa katika mtindo wa namna hiyo... Imagine mtu wa software anaenda kuandika line yake ya kwanza ya code akiwa chuo kikuu na hapo utakuta hata HTML tu haijui 😅😅😅.

Ni heri tutengeneze watu wengi wenye uwezo mzuri kwenye technology kwa maana ni rahisi kujiajiri huko, kuliko kutengeneza watu wengi wenye uwezo mzuri wa kufundisha History au Geography, unakutana na mtu anaanza kukupa uchambuzi wa mto Mississippi wakati hajawahi kuuona hata kwa macho, inasaidia nini?

Anyway, wacha inyeshe tuone panapovuja, but pia wazazi ni wakati wa kubadili mindsets zenu, usipeleke mtoto shule ili aje apate pesa alusaidie peleka mtoto shule apate elimu ambayo itamfanya awe exposed na mambo mbalimbali ya ulimwengu na fedha iwe ni matokeo ya mwisho kabisa.
Umeandika point kubwa sana kitaalamu. Pata glass moja ya gongo kwa gharama zako. Kiukweli hii mtu mzima kwenda kuanza kuandika codes akiwa chuo kikuu ni kitu cha kusikitisha sana. Jitu limeshaonja papuchi za kutosha hawezi kuwa na utulivu wa kuandika codes vizuri. Hizi language wangeanzia hata darasa la 3 kufundisha. Somo kama HISTORY lingekuwa tu kama Civics kwa sababu halina maana yoyote mtaani. Mbaya zaidi historia yenyewe inafundishwa mambo machache sana. Mengi yanafichwa.
 
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Hata kwa upande wa Afya tujiandae.

Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?

Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.

Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.

Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc

Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?

Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.

With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.

Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,

tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.

Take care

Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Sio kwa Africa labda Ulaya na Marekani
 
Bank tellers kwa bongo bado wanasoko hawataisha Leo mkuu

Ebu kwahyo mimi na degree yangu ya bizness administration kwamba itakufa miaka ijayo? 🤣acha utani basi mkuu
 
Umeandika point kubwa sana kitaalamu. Pata glass moja ya gongo kwa gharama zako. Kiukweli hii mtu mzima kwenda kuanza kuandika codes akiwa chuo kikuu ni kitu cha kusikitisha sana. Jitu limeshaonja papuchi za kutosha hawezi kuwa na utulivu wa kuandika codes vizuri. Hizi language wangeanzia hata darasa la 3 kufundisha. Somo kama HISTORY lingekuwa tu kama Civics kwa sababu halina maana yoyote mtaani. Mbaya zaidi historia yenyewe inafundishwa mambo machache sana. Mengi yanafichwa.
Endeleen kusifia anaupiga mwingi

Kama ulikuwa hujui ni kuwa International schools nyingi wanasoma Codes as part of their lives

Gvt school endeleeni kusema tunamshukuru Maama kwa kutuchimbia choo cha shule

Mkija kuamka it is too late
 
Back
Top Bottom