Dunia inaenda kasi, shaurini watoto wenu nini cha kusomea. Kuna baadhi ya kazi zinakwenda kupotea mazima

Ushauri wako ni mbovu, katika kazi ambazo zitaendelea kufanywa na binadamu kwa muda mrefu kuliko nyingine kipindi cha mapinduzi ya AI ni udaktari, uuguzi na ufamasia.
Napingana na wewe...Aisee Philips Wana machine zao XRay wanaunganisha na kitu inaitwa stching program, Vipimo vyote vya CXR 70% haviitaji radiologist...Just X-ray image ya chest ina-detect tatizo hapo kwa papo....
 
Wakati computer zinaanza kutajwa kutumika benki hapa Tanzania in mid 80s. Nakumbuka shuleni kwetu pale wanafunzi wa Science walikuwa wanawakatisha tamaa wanafunzi wanaosoma book keeping na kuwaambia ajira zenu za benki zinaota mbawa soon kwa sababu benki zitaanza kutumia computer.
Shkamoo Mzee makwega7
 
Napingana na wewe...Aisee Philips Wana machine zao XRay wanaunganisha na kitu inaitwa stching program, Vipimo vyote vya CXR 70% haviitaji radiologist...Just X-ray image ya chest ina-detect tatizo hapo kwa papo....
Radiologist lazima awepo amtafsirie mgonjwa image, ajibu maswali yake na kumpa ushauri au pia ashauriane na madaktari wengine kinachoonekana, chukulia hizo mashine za X-ray za Phillips kama VAR au Goal line technology, refa lazima awepo kusema ni goli na kuita mpira kati.
 
Radiologist lazima awepo amtafsirie mgonjwa image, ajibu maswali yake na kumpa ushauri au pia ashauriane na madaktari wengine kinachoonekana, chukulia hizo mashine za X-ray za Phillips kama Goal line technology, refa lazima awepo kusema ni goli na kuita mpira kati.
Sijakataa.....Ila ni alert kama tumefikia Leo hii hapo..next 10 years ni Habari ingine Aisee...ndio hivyo kujiandaa....Halafu magonjwa ya binadamu ni Yale Yale...Hakuna kipya....
 
Ushauri wako ni mbovu, katika kazi ambazo zitaendelea kufanywa na binadamu kwa muda mrefu kuliko nyingine kipindi cha mapinduzi ya AI ni udaktari, uuguzi na ufamasia.
Udaktari nakubaliana na wewe kidogo ila ucamasia hapana. Leo hii kule X Ai una upload medical examination results ama vipimo vya daktari, inasoma na kutoa interpretation na kutoa Recommendations za dawa za kutumia.

Kazi ya famasia ni kupendekeza dawa za kutumia, sasa hivi AI zinafanya sema hazijaruhusiwa rasmi ila ukiweka vipimo vyako XIA ya Elon Musk inakupa tafsiri ya magonjwa yako na kupendeza madawa ya kutumia.
 
Afadhari... Wafamasiaaaa oyeee

Ushauri wako ni mbovu, katika kazi ambazo zitaendelea kufanywa na binadamu kwa muda mrefu kuliko nyingine kipindi cha mapinduzi ya AI ni udaktari, uuguzi na ufamasia.
I know upo kwenye Resistance to change. You gotta learn to accept the change.

Ma MD watakaosalia ni surgeon specialist

Nyie wa unaumwa nini ambao mainly ni symptomatic treatment…. Technology can do better than all that….sehemu tuliyokuwa tunaitaji 10 MD TUTAITAJI 2 tu with speed ya robotics tutaweza kutibu lots patients per day kuliko binadam wanaosababisha foleni with errors

Kuhusu Wafamasia…. The only chance they have ni wa focus kwenye drug discovery na manufacturing…. Kazi za dispensing na prescription refill zinaenda kuzikwa na robotics

I dont need pharmacist or doctor to
Tell me about drug interaction. Kuna Ai Na softwares tools can tell me all that …. Like naweka Acetyl salycilic Acid plus Acetaminophen…. The AI TOOLS inakuambia there is drug interaction with summary report with recommendation just in a second . Au drugs and juice interaction ….

We no longer need pharmacist to tell us all that , just one click you get answers

Bongo mpo nyuma sana bob

Resistance to change. I remember those days my dad used to tell me , auto cars ni kwa vilema.. dont buy my son

Now days we have replaced manual cars by 90 %

stop 🛑 denial
 
Sijakataa.....Ila ni alert kama tumefikia Leo hii hapo..next 10 years ni Habari ingine Aisee...ndio hivyo kujiandaa....Halafu magonjwa ya binadamu ni Yale Yale...Hakuna kipya....
Bado sana hasa kwa hizi nchi zetu masikini, hiyo goal line technology ina miaka 20 tangu iwepo huko magharibi ila mpaka leo hata hakuna dalili ya kutumika nchini. Angalia treni za umeme zimeanza kutumika lini huko duniani na zimefika lini hapa kwetu, mpaka leo wazo la serikali kuifanya Dodoma makao makuu ya nchi ni kwa sababu iko katikati ya nchi na inafikika kwa urahisi zaidi.
 
Kazi ya kutibu watu inarahisishwa na hizo robotic system lakini watu bado wanahitajika wengi tu ,currently kuna mashine za kuchakata sampuli hata 1300 per day lakini some n manual work na some n automatic!,bado hauwezi eliminate hawa watu !! Labda uko tayari ukatibiwe kwa roboti lililowekewa software 😊
 
Radiologist lazima awepo amtafsirie mgonjwa image, ajibu maswali yake na kumpa ushauri au pia ashauriane na madaktari wengine kinachoonekana, chukulia hizo mashine za X-ray za Phillips kama VAR au Goal line technology, refa lazima awepo kusema ni goli na kuita mpira kati.
Hizo zote zitahitaji QR code lol 😂

We will only need few staff

Acha uoga hakuna haja ya kushauriana. Kila kitu kipo programmed …. Mambo ya kushauriana unaturudisha nyuma

Unatafsiri ilichosoma mashine, sasa why mashine ishindwe kutafsiri ilichokitengeneza 🤣

Imagine zinakuja na QR …. Once ukimaliza tools zinatoa interpretation chap

Ushauriane nini? Kushauriana ni kutokuwq sure na shida ya mgonjwq ndio maana errors ni nyingi sana

Technology inaweka all records and information na kututoa accurate results
 
I know upo kwenye Resistance to change. You gotta learn to accept the change.

Ma MD watakaosalia ni surgeon specialist

Nyie wa unaumwa nini ambao mainly ni symptomatic treatment…. Technology can do better than all that….sehemu tuliyokuwa tunaitaji 10 MD TUTAITAJI 2 tu with speed ya robotics tutaweza kutibu lots patients per day kuliko binadam wanaosababisha foleni with errors

Kuhusu Wafamasia…. The only chance they have ni wa focus kwenye drug discovery na manufacturing…. Kazi za dispensing na prescription refill zinaenda kuzikwa na robotics

I dont need pharmacist or doctor to
Tell me about drug interaction. Kuna Ai Na softwares tools can tell me all that …. Like naweka Acetyl salycilic Acid plus Acetaminophen…. The AI TOOLS inakuambia there is drug interaction with summary report with recommendation just in a second . Au drugs and juice interaction ….

We no longer need pharmacist to tell us all that , just one click you get answers

Bongo mpo nyuma sana bob

Resistance to change. I remember those days my dad used to tell me , auto cars ni kwa vilema.. dont buy my son

Now days we have replaced manual cars by 90 %

stop 🛑 denial
Utakufa vibaya wewe ukiendelea kupewa dawa na AI, siku system itajikoroga iku overdose au ikuchanganyie sumu ndio utajua umuhimu wa mfamasia daktari utakapokuwa umetundikiwa dripu unatolewa sumu.
 
Kazi ya kutibu watu inarahisishwa na hizo robotic system lakini watu bado wanahitajika wengi tu ,currently kuna mashine za kuchakata sampuli hata 1300 per day lakini some n manual work na some n automatic!,bado hauwezi eliminate hawa watu !! Labda uko tayari ukatibiwe kwa roboti lililowekewa software 😊
Wengi tu huko kwenu unaenda kituo cha Afya hakuna hata umeme
 
Utakufa vibaya wewe ukiendelea kupewa dawa na AI, siku system itajikoroga iku overdose au ikuchanganyie sumu ndio utajua umuhimu wa mfamasia utakapokuwa umetundikiwa dripu unatolewa sumu.
Haiwezi kutokea. Hii ni resistance to change tu

Lots of medication errors zinafanywa na humans . Ingia kwenye High Impact Medical Journal usome .. hata unasoma books na article ? ATB resistance inasababishwa na humans kutoka na poor technology!!!

Technology imekuja kuondoa Human errors unasemaje AI tools itakuua unadhan ni AI hizo mnazotumia za google

I am ashamed na statement yako !

Hata una level gani ndugu yangu! ?
 
Umeandika na legal hapo Ina maana roboti zitapresent watu mahakamani au
🤣🤣🤣🤣

Endeleeni kupeleka watoto shule njia zilezile mlizopita nyie. Mmeshaanza kulia hakuna ajira

Next 20 years itakuwa balaaa
 
Haiwezi kutokea. Hii ni resistance to change tu

Lots of medication errors zinafanywa na humans . Ingia kwenye High Impact Medical Journal usome .. hata unasoma books na article ? ATB resistance inasababishwa na humans kutoka na poor technology!!!

Technology imekuja kuondoa Human errors unasemaje AI tools itakuua unadhan ni AI hizo mnazotumia za google

I am ashamed na statement yako !

Hata una level gani ndugu yangu! ?
Nani anarekebisha AI errors?
 
Utakufa vibaya wewe ukiendelea kupewa dawa na AI, siku system itajikoroga iku overdose au ikuchanganyie sumu ndio utajua umuhimu wa mfamasia daktari utakapokuwa umetundikiwa dripu unatolewa sumu.
We kumbe hamna kitu.

Nipe majukumu ya Mfamasia kwa sasa ndani ya Hosp kwamba asipokuwepo kazi zitasimama ?
 
🤣🤣🤣🤣

Endeleeni kupeleka watoto shule njia zilezile mlizopita nyie. Mmeshaanza kulia hakuna ajira

Next 20 years itakuwa balaaa
AI inafanya kazi kubwa sana. Ila kuna kazi ambazo msingi wake lazima awepo mtu. AI itakuwa msaidizi tu kwa huyo mtu ambaye atakuwa mbele. Mfano managerial positions will in 100+yrs to come will be reserved for person being. Hakuna roboti wala terminator atafanya kazi ya kuingoza taasisi so to the court of law
 
Nani anarekebisha AI errors?
Japokuwa haijawa confirmed ila wachunguzi watafiti wanadai,itafika kipindi zenyewe zitakuwa na uwezo wa kurekebisha errors na kujifix.
Ndio maana kuna watu wanaonya sana kubusiana na hizi AI, maana ikifikia level hii sijui itakuwaje kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom