Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.
Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.
Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.
Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.
Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.
Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.
Nitaendelea.