una ushaidi kututhibitmishia USA aliingilia siasa za UKRAINE mwaka 2014 , km huna bas jiite shogah mzee bila kumung'unya maneno , Uhuru wa kuongea unawafanya mnalopoka
Wewe akili ndogo sana hata kusoma na kuelewa tatizo kubwa kwako alafu unataka ujadili mada na mimi?!!
Umesoma vizuri comment yangu?
Maana ushahidi unao dai nimeweka kwenye post uliyo jibu (uliyo quote). Yaonekana hujasoma vizuri post yangu.
Ngoja nikusaidie: Soma hapo chini ujijibu hayo maswali ujione ujinga wako.
Unamjua waziri wa mambo ya nje wa Marekani mwaka 2014 alikuwa anaitwa nani?
Balozi wa Marekani nchini Ukraine mwaka 2014 alikuwa anaitwa nani?
Umesoma link niliyo ambatanisha kwenye tuhuma za Marekani kuingilia siasa za ndani za Ukraine?
Uliona majina mawili yaitwayo Nuland na Pyatt ?
Umesoma hiyo habari toka BBC umeona walifanya nini na taarifa ya walichofanywa kilidukuliwa na kuwekwa kwenye mitandao?
Umesikiliza mawasiliano ya simu ya hao wanadiplomasia wa Marekani ambayo yapo youtube kama ushahidi?
Kama haujasoma kitu unachotaka kukosoa tena kwa lugha ya kashifa na matusi jiandae ujipime ufiche aibu yako.
Maana hapo umeonesha hujasoma yote niliyo andika na kupitia link niliyoweka kuthibitisha madai yangu, na kama umesoma basi HAUJUI KIINGEREZA HIVYO HUJAELEWA TAARIFA NILIYOWEKA LINK KAMA USHAHIDI.
Siku nyingine ukiona post yangu pita mbali utambue mimi na wewe tuko madaraja tofauti kabisa ya akili na kujenga hoja. Kifupi niogope kabisa.