Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.

Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.

Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.

Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.

Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.

Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.

Nitaendelea.
Unaamini kua anachofanya Putin na Russia ni ujinga? Hujui kwamba unaweza kua mjinga wewe? Hivi sasa tunaweza sisi kama Tanzania ghafla tu tukaanza kuipiga Burundi bila sababu?
 
We kajamaa ni kaongo kweli, ulikuja ma da zako mara ohoo putin atakufa, mara Russia imefisirika na blah blah kibao.

Tunaojua mambo tukikuambia, urusi ni taifa kubwa, babe na lenye teknolojia ya juu, hakuna nchi inaweza kusimama na Russia kijeshi na ikafanikiwa kumshinda hakuna. Anayo mabomu ya kumaliza kila taka taka hapa duniani

Huo ujasusi wa kumuua Putin unafanya kwenye nchi shenzi shenzi kama huku Africa na kdg south America... mtake msitake pale Ukraine ndio yameisha... ile nchi haitakua tena kama zamani. Walitaka kumuua Assad wa Syria wanaume walipoingia kasome kilichotokea.
Si huwa tunaaminishwa kwamba RUSSIA ni nchi ndogo sana kiuchumi na kimaendeleo ambapo haiwezi hata kufikia thamani ya bajeti ya ulinzi na usalama wa jimbo 1 tu la USA?

Imekuwaje USA, NATO na EU hasi sasa waendelee kupewa kichapo cha nguvu huko UKRAINE hadi sasa hivi [emoji848][emoji28]
 
Unaamini kua anachofanya Putin na Russia ni ujinga? Hujui kwamba unaweza kua mjinga wewe? Hivi sasa tunaweza sisi kama Tanzania ghafla tu tukaanza kuipiga Burundi bila sababu?
Kamwe haiwezekani,ikifikia huko maana yake njia nyingine zote zimeshindikana,na hilo imelazimu kuwa njia ya mwisho hata japo chungu
 
Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.

Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.

Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.

Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.

Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.

Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.

Nitaendelea.
USIWE NA UTUMWA WA FIKRA ZA KIMAREKANI uwe unajua pia kuunganisha dot, marekani na NATO walivyoua na wakivamia Libya, IRAQ,SYRIA, AFGHANSTAN, N.K kwa kigezo cha kulinda maslahi yao binafsi, wewe ulikuwa bado tumboni eti? kama ndivyo uwe unauliza. Russia naye analinda maslahi yake dhidi ya maadui zake NATO na marekani ndani ya Ukraine, sawa totoo? haya endelea kuangalia katuni eeh
 
Si huwa tunaaminishwa kwamba RUSSIA ni nchi ndogo sana kiuchumi na kimaendeleo ambapo haiwezi hata kufikia thamani ya bajeti ya ulinzi na usalama wa jimbo 1 tu la USA?

Imekuwaje USA, NATO na EU hasi sasa waendelee kupewa kichapo cha nguvu huko UKRAINE hadi sasa hivi [emoji848][emoji28]
Wajinga hao wamewekeza kwenye uongo na unaa kwa kiwango kikubwa.
 
Si huwa tunaaminishwa kwamba RUSSIA ni nchi ndogo sana kiuchumi na kimaendeleo ambapo haiwezi hata kufikia thamani ya bajeti ya ulinzi na usalama wa jimbo 1 tu la USA?

Imekuwaje USA, NATO na EU hasi sasa waendelee kupewa kichapo cha nguvu huko UKRAINE hadi sasa hivi [emoji848][emoji28]
wapumbavu hawa NATO NA USA, WAMEZOEA KUINGOZA DUNIA KISUNGURA SUNGURA, this time ni KIVUMBI NA JASHO....YATAKUWA MAGUMU KWAO
 
Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.

Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.

Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.

Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.

Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.

Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.

Nitaendelea.
Mbona ya Gadaffi husemi, mbona ya Sadam husemi, acha ushabiki.....
 
Mbona unarudia porojo za CNN na VoA - mwanzoni nilifikiri labda mwenzetu amepewa US Govt handouts kutuletea hapa jamvini kwa lengo maalumu - jamaa hawa wana mbinu nyingi sana za kuwachota watu akili ili wafikishe ujumbe wa kuwafanya watu Duniani wachukie Taifa fulani bila sababu za msingi zaidi ya childish rivary - uzuri Dunia imekwisha shitukia mbinu zao ovu, watu wengi wenye akili timamu hawakubali kuburuzwa kwenye ma camp ya kijinga yasiyo kuwa na kichwa wala miguu - ushetani wa NWO na Unipolar World umekwisha kuwa buried six feet under kutokana na ujasiri wa brainy Putin, Ti Xing Ping, Ayatolla wa Iran, Kim na washirika wote wa BRICS na members wanaongezeka exponentially!!!

Hakuna tena mambo ya genge dogo la mabeberu kutaka kutawala Dunia kinguvu kupitia ukoloni mambo leo - Putin anachukiwa na kusemwa semwa vibaya na media za magharibi kutoka na msimamo wake na wenzake wa kutaka kukomesha umafia wa Anglo-Saxon gang - kundi hili ni binadamu hatari sana wenye imani na mawazo ya ajabu sana - si watu wa kuchekea hata kidogo. Si lazimishi watu kukubaliana na mawazo/ufafanuzi wangu, hilo lilikuwa ni angalizo tu kwa kuwa najua adithi zitakazo fuatia zitakuwa zimejaa upotoshaji mkubwa wa kumuhusu Putin na Urusi - kumbukeni kwamba wapotoshaji wako well organised kwenye MSM na popular social media na majority ya waleta taarifa are paid troll and bots, chunga sana.
Ukweli mtupu, nashangaa sana watu wanaoleta ushabiki na kuona US na vibaraka wake western wanachofanya ni sahihi!!

Lazima dunia ibalance shobo, haiwezekani kikundi cha nchi fulan kuifanya dunia kama kigoda cha kukalia.

US Asibodilika na kutaka kuendelea kujitanua ili kuishika dunia yote basi vita ya 3 ya dunia haiepukiki
 
TumainiEl mgogoro huu umeanza zamani sana na kufikia kilele 2014 baada ya Marekani kuingilia siasa za ndani ya Ukraine na kuchochea maandamano ya kumtoa raisi halali wa Ukraine siyo huyu kibaraka Zelenskyy . Pitia hapa Ukraine crisis: Transcript of leaked Nuland-Pyatt call

Kwanza utambue Crimea ilikuwa sehemu ya Russia toka 1783 hadi mwaka 1954 pale Raisi Khrushchev wa USSR (Urusi) alipowapataia Ukraine eneo hili.

Kumbuka Khrushchev alikuwa mtu wa asili ya Ukraine, yaani kama hapa Mama Samia achukue Mafia awakabidhi Zanzibar. Sasa ukitaka kuona watu wako wa magharibi na kibaraka wao Zelenskyy wanavyotaka kusababisha vita ya 3 ya dunia wanakataa haki ya watu wa Crimea kurudi kwenye nchi yao mama (Russia). Wanasema lazima waichukue kwa nguvu kivita Crimea iende tena Ukraine.

Hao unaowashabikia wana nadi demokrasia na kututaka nchi maskini tuheshimu matakwa ya wananchi wao hawataki kuheshimu kura ya maoni ya wana Crimea waliochagua kurudi Russia.

Kuanzia 2014 serikali ya Kiev imekuwa ikiwalipua kwa mizinga na kuwauwa kikatili watu wanaotaka kujitenga na Ukraine, Putin kaenda kuwalinda kama vile watu wa magharibi walivyo enda kuwasaidia watu wa Libya waliompinga Ghadaf au watu wa Cosovo walipotaka kujitenga na Yugoslavia ya zamani. sasa kwanini Russia akifanya kama wao anaonekana katili mpenda vita?
Kwa hiyo Crimea ikirudishwa tena Ukraine ndio Putin atafanya nini, atalipua nyukilia au?
 
Mbona ya Gadaffi husemi, mbona ya Sadam husemi, acha ushabiki.....
USIWE NA UTUMWA WA FIKRA ZA KIMAREKANI uwe unajua pia kuunganisha dot, marekani na NATO walivyoua na wakivamia Libya, IRAQ,SYRIA, AFGHANSTAN, N.K kwa kigezo cha kulinda maslahi yao binafsi, wewe ulikuwa bado tumboni eti? kama ndivyo uwe unauliza. Russia naye analinda maslahi yake dhidi ya maadui zake NATO na marekani ndani ya Ukraine, sawa totoo? haya endelea kuangalia katuni eeh
Hizi ndio akili za kijinga.

Ulijua kwamba siyo haki na ukachukia, Iraq, Afghan n.k zilipovamiwa, ila jambo kama hilohilo linafanywa na Urusi na unalishangilia! Very stupid and Pathetic indeed!
 
Shida yenu, Marekani mnamuona hasimu kwa sababu anaua magaidi wenu na kuwaharibia mpango wenu wa 'The Global Jihad Mission' .

Hakuna siku magaidi wanaua watu kwa jina la allah eti mkawakemea magaidi. Never, kwa sababu mnaelewa wanachofanya ni mpango wa dini yenu. Very hopeless.
Hivi unafahamu hao unao waita magaidi wametengenezwa na nani? Kuanzia Mujahedeen wa Afghanstan, Al Qaeda ya Osama Bin Laden, ISIL, nk!!

Kama ulikuwa hujui, basi tambua fika Marekani kupitia shirika lake la ujasusi, yaani CIA ndiyo waratibu na waanzilishi wakuu wa hivyo vikundi.
 
Back
Top Bottom