Dunia inakwenda kasi sana

Dunia inakwenda kasi sana

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
1730143200015.jpg

Nimekutana na hii picha inayoonesha barua kutoka kwa mtoto wa kike kwenda kwa mtoto wa kiume! Nimecheka sana! Ila ndo maisha tu.
 
Dah kuna demu wangu alikuwa akiniandikia barua kama hivyo tukiwa Arusha huko, hakuwa na simu kipindi hicho. Dah alinipenda sana yule manzi ya kisomali, sasa hv ameolewa na mtoto alimpata 2019.
 
Dah kuna demu wangu alikuwa akiniandikia barua kama hivyo tukiwa Arusha huko, hakuwa na simu kipindi hicho. Dah alinipenda sana yule manzi ya kisomali, sasa hv ameolewa na mtoto alimpata 2019.
Pole
 
Unankumbusha enzi zangu hzo..barua unairdia mara mbili unaenda kutambia washkaji
 
Back
Top Bottom