Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Juma anachezea hisia za watu halafu hataki kuthibitisha upendo kwa maandishiView attachment 3137690
Nimekutana na hii picha inayoonesha barua kutoka kwa mtoto wa kike kwenda kwa mtoto wa kiume! Nimecheka sana! Ila ndo maisha tu.