Dah kuna demu wangu alikuwa akiniandikia barua kama hivyo tukiwa Arusha huko, hakuwa na simu kipindi hicho. Dah alinipenda sana yule manzi ya kisomali, sasa hv ameolewa na mtoto alimpata 2019.