Dunia inazalisha Chakula cha Kutosha, Lakini Afrika bado njaa ni Kubwa

duniani, chakula ni kingi sana kuliko uhitaji,...
shida ni distribution,...kuna watu wanatupa chakula na hawafanyi kazi, na kuna watu wanafanya sana kazi na hawashibi
Nakubaliana na hoja, Usalama wa chakula kwa sasa sio suala la 'chakula hakitoshi', bali ni changamoto ya mnyororo wa thamani na uwezo wa kifedha wa walaji.
Vyakula vingi vinaharibika wakati wa kusafirisha (perishable food losses), na vinavyosalimika vinauzwa kwa bei ya juu sana. Kiini cha food insecurity kwasasa ni ukosefu teknolojia za kusindika na kusafarisha chakula hivyo kushindwa kufikisha chakula kwa walengwa kwa wakati pamoja na uwezo wa kifedha wa mhitaji wa chakula hicho.
 
sahihi kabisa mkuu,...
shukran sana kwa kunielewa🙏
 
Usisahau na gharama za juu za pembejeo
 
Japani wana njaa sana
 

What we lack in Africa is leadership. People with vision. Who walk their talks to that vision. Kuna wezi na wababaishaji tu wanaojinadi na kujidai ni viongozi.

Na wanatumia muda na nguvu zao kuhakikisha wale ambao ni viongozi, hawachomozi...kwa hila, fitna, majungu na hata ikibidi kuwaua.

Ndio maana haoa kwetu kwa mfano, Dr. Salimu Ahmed Salimu walimuita hizbu na kumletea maneno mengi sana asiweze kugombea. Angali walichofanya......

Mbele yake Mwenyezi Mungu tutadaiwa mengi mno, tusichukulie poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…