Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo.

Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais..

Huyu ndio Samia wa Filipino 👇

Screenshot_20220507-155810.png

Screenshot_20220508-065921.png

Screenshot_20220508-070007.png

Screenshot_20220508-070039.png

Screenshot_20220508-070724.png
 
Kizazi hiki wanaume tumekuwa mabwege Sana. Utakuta haya mambo yameanza kwenye familia zetu kwanza. Mwanamke anakuwa mkuu wa familia na sauti yake inasikika iko juu wakati wote.
Kama ana akili na wewe ni bwege nani atakusikiliza? 😄😄
 
Carazon Aquino alishakua raisi mwanamke wa Ufilipino 1986-1992 na ndio alikua mwanamke wa kwanza kushika position hiyo na pia ndio first female president in Asia,

Mwanamke mwingine aliyewahi kua rais wa Ufilipino ni Gloria Arroyo 2001-2010
So,Philippines sio jambo la ajabu wala haitokua ni mara ya kwanza kwa mwanamke kua President.
 
Hakuna mwanamke ana akili kumpita mwanaume na ndio maana vyovyote iwavyo sisi ndo tunaanzisha mahusiano Kwa kumtongoza na maneno laini laini na anashindwa kung'amua tunapowadanganya sema tu wamepewa mamlaka za kishetani katika zama hizi na zinalindwa na mabeberu watetezi wa demokrasia
 
Carozan Aquino alishakua raisi mwanamke wa Ufilipino 1986-1992 na ndio alikua mwanamke wa kwanza kushika position hiyo na pia ndio first female president in Asia,

Mwanamke mwingine aliyewahi kua rais wa Ufilipino ni Gloria Arroyo 2001-2010
So,Philippines sio jambo la ajabu wala haitokua ni mara ya kwanza kwa mwanamke kua President.
Namkumbuka zaidi Gloria Aroyo na sio muktadha wa mada hii kwamba Leni ni WA kwanza bali kuonyesha jinsi Dunia inavyozisi kuwaamini wanawake na ushahidi ni huu kwamba mara ya 3 hii Ufilipino inaenda kuongozwa na mwanamama.
 
Hakuna mwanamke ana akili kumpita mwanaume na ndio maana vyovyote iwavyo sisi ndo tunaanzisha mahusiano Kwa kumtongoza na maneno laini laini na anashindwa kung'amua tunapowadanganya sema tu wamepewa mamlaka za kishetani katika zama hizi na zinalindwa na mabeberu watetezi wa demokrasia
Utamaduni tuu..

Kila siku mnapitwa huko darasni afu unasemaje? Leta hapa matokeo ya form 4 na 6 kwa miaka japo 3 nyuma uone moto wa wanawake unless kuna akili nyingine unayoizungumzia kama ya kutongoza 😆😆
 
Carazon Aquino alishakua raisi mwanamke wa Ufilipino 1986-1992 na ndio alikua mwanamke wa kwanza kushika position hiyo na pia ndio first female president in Asia,

Mwanamke mwingine aliyewahi kua rais wa Ufilipino ni Gloria Arroyo 2001-2010
So,Philippines sio jambo la ajabu wala haitokua ni mara ya kwanza kwa mwanamke kua President.
Africa tuna Ellen Johnson pia
 
Utamaduni tuu..

Kila siku mnapitwa huko darasni afu unasemaje? Leta hapa matokeo ya form 4 na 6 kwa miaka japo 3 nyuma uone moto wa wanawake unless kuna akili nyingine unayoizungumzia kama ya kutongoza 😆😆
Akili siyo hiyo mkuu!!! Kuwa wa kwanza darasani Bado haijitoshelezi kuwa eti mtu ana akili. Akili ni ule uwezo wa kupambana na mazingira yanayokuzunguka. Na ndio maana wengi katika wanaofaulu darasani wanafeli katika maisha halisi ya mtaani. Mkuu Kama ulikuwa haujui Anza Leo kujua kuwa wanawake wote wanamapungufu ya akili. Na hili limetiliwa mkazo katika dini zetu,utakuja kugundua ukipitia maandiko kuwa hakukuwepo na nabii yeyeto mwanamke wakati huo.
Na Ili ujue kuwa mwanamke sio sawa na mwanaume subiri kipindi Cha matatizo.
 
Huyu mama wa kifilipino amemwaga sera watu wakamtathimini wakaona anafaa.

Inapotokea kuridhi bila kupambana na kupitishwa kwenye msuguano wa hoja kinzani, ni aghalab mwanamke kuweza kusimama imara na kuwa kiongozi bora.
 
Mambo ya maandiko tena,tunaenda Kwa facts..

Kwa hiyo wanaosoma hawawezi kupambana na mazingira? Uko Dunia ya chuki kwa wanawake maana unaishi kwenye hisia
 
Pink revolution,Niko nyuma yake ila kwa uzuri lakini 🤣🤣

Screenshot_20220508-065921.png

Screenshot_20220508-070724.png
 
Mambo ya maandiko tena,tunaenda Kwa facts..

Kwa hiyo wanaosoma hawawezi kupambana na mazingira? Uko Dunia ya chuki kwa wanawake

Mambo ya maandiko tena,tunaenda Kwa facts..

Kwa hiyo wanaosoma hawawezi kupambana na mazingira? Uko Dunia ya chuki kwa wanawake maana unaishi kwenye hisia
Ukiniambia suala la fact kitu pekee nakitanguliza ni maandiko,siwachukii wanawake Ila ni mtu naamini Ili Dunia iwe salama basi Kila kitu kirejee mahala pake. Mwanamke aitunze familia yake,akae nyumbani kwake atulizane. Mwanaume apambane kuhakikisha familia yake anaikomboa kutokana na ugumu wa maisha,awatimizie mahitaji ya msingi na jambo hili Kwa mwanaume ni wajibu.
 
Raisi akiwa mwanamke ni nzuri sana hawana nguvu hivo uhuru unakua mkubwa sana na pia huwa anaongozwa nyuma ya pazia mfano tanzania tu alipokuepo Maghufuri nchi ilikua na adabu lakni saizi kila mtu anaweza kuamua kufanya anachotaka.
 
Pumba,soma hiyoo 👇

Screenshot_20220502-124406.png
 
Urais sio lelemama.kuna kufa,kulogwa,kusalitiwa na mengine mengi maovu.
So,wasubiri kura pekee ndio zitaamua,hizo live concerts zake zinamdanganya.

Aangalie marekani jinsi mwenzake Hillary Clinton alivyofanyiwa licha,ya kua na influence,connection ,na kila kitu.
 
Back
Top Bottom